Simba acheni uzungu, kuruhusu mashabiki waangalie mazoezi yenu dhidi ya Yanga ni kukaribisha nuksi

Simba acheni uzungu, kuruhusu mashabiki waangalie mazoezi yenu dhidi ya Yanga ni kukaribisha nuksi

Kama ishu ni kulogana, Simba ndio klabu inayo tambuliwa na CAF Kwa uchawi zaidi kuliko klabu yoyote barani Afrika.
Walifikia mbaka kuwasha moto ugenini, Hadharani kule South Africa.
Wanafukia kila aina ya makafal pale Kwa Mkapa, kutumia paka, Kuvunja Nazi n.k
 
Kuna mdau hapa JF alishaipigia kelele kila derby halafu tunafungwa au draw ,hata mbali na mambo ya nje ya uwanja kwanini mashushu wa timu pinzani waone mbinu zenu? Kwenye hao mashabiki lazima kutakuwa waliotumwa kurekodi mbinu za mchezo.

Simba kwenye hili wamekuwa wajinga ,hata kama ni modern football huwezi kubadili mbinu katikati ya mechi wakati adui anajua mbinu zako zote
Huyo mdau ni GENTA ameshalisemea hili sana akapuuzwa..
 
Hebu acheni mambo ya kishamba. Tembeeni muone. Mbona Chelsea, Barcelona, Man u wanafanya mazoezi na fans wanaburudika. Ondoeni funza kichwani.
 
Kama ishu ni kulogana, Simba ndio klabu inayo tambuliwa na CAF Kwa uchawi zaidi kuliko klabu yoyote barani Afrika.
Walifikia mbaka kuwasha moto ugenini, Hadharani kule South Africa.
Wanafukia kila aina ya makafal pale Kwa Mkapa, kutumia paka, Kuvunja Nazi n.k
Hakuna timu duniani isiyotumia uchawi ni viwango tu na mitindo inayotumika KUSHIRIKINA ndio inawatofautisha.
 
Hizi pressure za nini? mnawaogopa utopolo? ooh No!.
 
Back
Top Bottom