Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Nimeona Simba wakiendelea na mazoezi yao pale bunju huku wakiruhusu mashabiki kujazana uwanjani, kule Avic Town kigamboni Yanga wamezuia habari hiyo ya mashabiki kuingia uwanjani.Mechi za Simba na Yanga zina mambo mengi nje ya uwanja, Simba tangu ihamie Bunju haijawahi kuifunga Yanga, sana sana droo au tunafungwa tunapocheza uwanja wa Taifa, mechi hizo wachezaji wetu wanazikwa makaburini, ndio maana akina chama, micquisone walikuwa wanashindwa kucheza vzr kila inapofika Derby, achaneni na mambo ya kizungu, mkifungwa na yanga mtawaudhi sana mashabiki wenu, yanga kwa mambo ya nje ya uwanja wako vzr mno, safari hii wameteua akina Seif Magari na Davis mosha kuwa katika kamati ya mashindano, mtaona ugumu wa mechi siku hiyo.