Simba acheni uzungu, kuruhusu mashabiki waangalie mazoezi yenu dhidi ya Yanga ni kukaribisha nuksi

Kama ishu ni kulogana, Simba ndio klabu inayo tambuliwa na CAF Kwa uchawi zaidi kuliko klabu yoyote barani Afrika.
Walifikia mbaka kuwasha moto ugenini, Hadharani kule South Africa.
Wanafukia kila aina ya makafal pale Kwa Mkapa, kutumia paka, Kuvunja Nazi n.k
 
Huyo mdau ni GENTA ameshalisemea hili sana akapuuzwa..
 
Hebu acheni mambo ya kishamba. Tembeeni muone. Mbona Chelsea, Barcelona, Man u wanafanya mazoezi na fans wanaburudika. Ondoeni funza kichwani.
 
Hakuna timu duniani isiyotumia uchawi ni viwango tu na mitindo inayotumika KUSHIRIKINA ndio inawatofautisha.
 
Hizi pressure za nini? mnawaogopa utopolo? ooh No!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…