mafarisayoo
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 1,190
- 830
Hao ni wapiga debe wa UTURUKITuran , ni timu au Masela tu huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni wapiga debe wa UTURUKITuran , ni timu au Masela tu huko
Kibu anakuuma sana tangu amtungue diara fataki zito april 16 akili hazijawakaa sana mbona mechi ya asubuhi hukunitag au umelewa mnazi mosie?Naona Wanasimba wanapita kimya kimya kwenye huu uzi! Sijui mchezaji wao tegemeo KIBU DEE MTOMBANGILE hakucheza kwenye hii mechi!!
Na wakiendelea kujificha nitawaita hapa mmoja baada ya mwingine! Scars, Kalpana, OKW BOBAN SUNZU, Carasco Putin, cocastic, na wengineo wengi! Karibuni kwa maoni.