M mafarisayoo JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 1,190 Reaction score 830 Jul 28, 2023 #21 Shujaa Mwendazake said: Turan , ni timu au Masela tu huko Click to expand... Hao ni wapiga debe wa UTURUKI
Shujaa Mwendazake said: Turan , ni timu au Masela tu huko Click to expand... Hao ni wapiga debe wa UTURUKI
GUSA ACHIA BAHASHA GOLI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2023 Posts 5,110 Reaction score 7,349 Jul 28, 2023 #22 Tate Mkuu said: Naona Wanasimba wanapita kimya kimya kwenye huu uzi! Sijui mchezaji wao tegemeo KIBU DEE MTOMBANGILE hakucheza kwenye hii mechi!! Na wakiendelea kujificha nitawaita hapa mmoja baada ya mwingine! Scars, Kalpana, OKW BOBAN SUNZU, Carasco Putin, cocastic, na wengineo wengi! Karibuni kwa maoni. Click to expand... Kibu anakuuma sana tangu amtungue diara fataki zito april 16 akili hazijawakaa sana mbona mechi ya asubuhi hukunitag au umelewa mnazi mosie?
Tate Mkuu said: Naona Wanasimba wanapita kimya kimya kwenye huu uzi! Sijui mchezaji wao tegemeo KIBU DEE MTOMBANGILE hakucheza kwenye hii mechi!! Na wakiendelea kujificha nitawaita hapa mmoja baada ya mwingine! Scars, Kalpana, OKW BOBAN SUNZU, Carasco Putin, cocastic, na wengineo wengi! Karibuni kwa maoni. Click to expand... Kibu anakuuma sana tangu amtungue diara fataki zito april 16 akili hazijawakaa sana mbona mechi ya asubuhi hukunitag au umelewa mnazi mosie?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 28, 2023 #23 Yagangwe yajayo...