Dodoma Jiji walizidiwaHawa dodoma jiji ilibidi red ziwe hata 3 walicheza rafu mbaya saana na refa aliwabeba saana
Wamecheza viatu sana haahh mwamuzi aliwalea sana.Dodoma Jiji walizidiwa
Niliona hiyo, yale yale ya KigomaWamecheza viatu sana haahh mwamuzi aliwalea sana.
Hatari wakikamia saanaNiliona hiyo, yale yale ya Kigoma
sasa biashara iliyo struggle nauli kwenda Djibout, iliyo qualify kucheza round one ya CAF haikupewa hata cent moja leo wanapewa milioni 10 eti pongezi ya sare kwa simba,leo wamepigwa sasa na Ruvu shootingHatari wakikamia saana
Kama ninkweli wanafanya hivyo..? Acha waharibu pesa na timu zao zaidisasa biashara iliyo struggle nauli kwenda Djibout, iliyo qualify kucheza round one ya CAF haikupewa hata cent moja leo wanapewa milioni 10 eti pongezi ya sare kwa simba,leo wamepigwa sasa na Ruvu shooting
Amini usiamini hizo hela za Gsm wakuu wa mikoa washabiki wa UTOPWINYO kama wa mara, na kina mavunde ndiyo utaona wanaahidi ....hopeless fools
Amua wewe sasa, tumekuteua kwenye VARSoka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?
Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?
Ni kweli safari ni ndefu ndio maana tulifungwa na river united ila Simba kimataifa na ligi kuu misimu minne mfululizo yupo juuSoka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?
Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?
Wanafungwa dodoma jiji. Mnateseka utopolo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nasikia mna gawa njugu kuwa.hamasisha vijana wa mikoani waifunge simba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna marefu yasiyokuwa na ncha mashine ya mabao imefunguliwa rasmi sasa mkae mkijua balaa limeanza na litakua noma saanaSoka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?
Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?
Mugalu ndie anasema mpe yule red cardSoka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?
Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?