Soka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?
Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?
Amka halafu kunywa maji mengi na matunda ya kutoshatunachojua simba anapoint 4.
Kwaakili za utopolo simba walipo droo na wao kushinda wakajua washashinda ligi
Sawa mama mdogo. Unaumia kiasi gani. KUNYA BOGASoka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?
Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?
Akili zako ziko matrakoni. Au nasema uongo ndugu zangu.Soka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?
Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?
Dawa yao ipo jikoni.Wanafungwa dodoma jiji. Mnateseka utopolo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nasikia mna gawa njugu kuwa.hamasisha vijana wa mikoani waifunge simba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna marefu yasiyokuwa na ncha mashine ya mabao imefunguliwa rasmi sasa mkae mkijua balaa limeanza na litakua noma saana
Mchezaji kagongana na mwenzake wakati wanawania mpira wa juu, mpira una waamuzi 3 wanaoshirikiana kuona matukio uwanjani, ni mwamuzi gani kati ya wale 3 aliyeona kiwiko kilichomuumiza mchezaji wa simba? Wewe uko lonyalonya kiakili na siajabu bado unakojoa kitandani. Mimi naoengea fact wewe unaongea ushabiki kama demu. Hivi mchezaji mwingine angejiangusha kwa makusudi na kugalagala chini kama aliyeumia sana kisha refa anakwenda kupata habari za mchezaji kutoka kwa mchezaji mwenzake, kisha refa bila kuangalia kushoto wala kulia akachomoa red card akampa mchezaji huo ndio utokotoko unaoushabikia kuwa ni sawa?Akili zako ziko matrakoni. Au nasema uongo ndugu zangu.
Kwahiyo Wewe unafikiri refa akiwa pale kati Hana maamuzi mpaka aambiwe na mshika kibendera.
Pia ww unafikiri pia kwamba refa hawezi kuyakataa maamuzi ya mshika kibendera.
Kadi ilikuwa halali na dunia nzima inajua.
Mchezaji anapofanya ujinga lazima ujinga wake utaigharimu timu.
Ndiyo maana uliona hata benchi la ufundi la Dodoma Jiji lilimwita yule mchezaji na kumwonya.
Yale ndiyo matokeo ya kukamia.
Hela GSM zitawagharimu wengi kwasababu km huna uwezo ni huna uwezo tu.
We ni kaizi tu, hukuona lile tukio au unaleta mahaba na timu yako kwa kuichukia simba, waambie hao wachezaji wenu wacheze vizuri hasa na timu kubwa, pale kulikuwa na Kadi mbili nyekundu.Soka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?
Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?
Kwa maoni yako lile kosa lilistahili rwd card au halikustahili?Soka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?
Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?
Kosa limetendeka na inawezekana adhabu aliyotoa mwamuzi ilikuwa sawa kabisa, lakini namna alivyojiridhisha hadi kutoa red card sio sahihi kabisa, kwasababu huwezi kutoa adhabu kwa kuangalia mchezaji anavyojigalagaza chini kwa maumivu, bali lazima ushuhudie mwenyewe au wasaidizi wako walioshuhudia wakuelezee namna tukio lilivyotokea na dhamira ya mtenda kosa wakati wa kutenda kosa. Ilikuwa bahati mbaya au alidhamiria. Yule mwamuzi hakuona namna kosa lilivyotendeka alijuaje kama ilikuwa yellow, red au bila card yoyote?Kwa maoni yako lile kosa lilistahili rwd card au halikustahili?
Toa maoni yako bila ushabiki. Refa kumsikiliza mchezaji malalamiko yake siyo kosa.
Kwa maoni yangu ni kuwa mwamuzi aliona kama kuna kosa limefanyika lakini akajipa muda wa kujiuliza ikiwa ni kweli au la na ni kosa gani (huo muda aliutumia katika kumshughulikia majeruhi kwanza) , lakini pia kama kawaida ya wachezaji walioathirika huwa hawaachi kulalamika ili haki itndeke yaani mtenda kosa aadhibiwe.Kosa limetendeka na inawezekana adhabu aliyotoa mwamuzi ilikuwa sawa kabisa, lakini namna alivyojiridhisha hadi kutoa red card sio sahihi kabisa, kwasababu huwezi kutoa adhabu kwa kuangalia mchezaji anavyojigalagaza chini kwa maumivu, bali lazima ushuhudie mwenyewe au wasaidizi wako walioshuhudia wakuelezee namna tukio lilivyotokea na dhamira ya mtenda kosa wakati wa kutenda kosa. Ilikuwa bahati mbaya au alidhamiria. Yule mwamuzi hakuona namna kosa lilivyotendeka alijuaje kama ilikuwa yellow, red au bila card yoyote?
Nendeni mkashitaki CASSoka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?
Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?