Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Are you alright?TP Mazembe wanatisha mkia wanaenda kupigwa mkono wa nyani..Natoa haadi nipigwe life ban endapo mkia watafuzu najua haitatokea...
Tulia mtarudi mnaliaUshawahi kuona mtu anagongeshwa nyumbani kwake tena mlangoni kwa nyumba yake mbele ya mke na watoto wake?
Wait................!!!!
Kabisa mkuuAre you alright?
Mzee wa kiporoIli iweje....? Lete bakuli tuendelee kuchanga..!
Kama kawaida yenu mnasubiri kula kiporo hii ndio ligi timu ina vipiro 11Endelea kuiombea simba mabaya. Wakati michezo yenu. Inaisha. simba akikosa CCL. Anarudi kuchukua TPL.
Hana cha kupoteza
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabebe ata kwa dreamliner 4 zijae waganga wanakufa tuLabda wasafiri na waganga wao.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kawaida yenu mnasubiri kula kiporo hii ndio ligi timu ina vipiro 11
Lakini unaikumbuka ile tic tac ya kagere?TP Mazembe wanatisha mkia wanaenda kupigwa mkono wa nyani..Natoa haadi nipigwe life ban endapo mkia watafuzu najua haitatokea...
ata angepiga kibaiskeli anakufa tuLakini unaikumbuka ile tic tac ya kagere?
Club bingwa nusu finalHebu weka maelezo vizur.Wakifuzu kitu gani?Sio baadae uje kukataa kwamba hukumaanisha klabu bingwa africa.
Sent using Jamii Forums mobile app