Simba akifuzu Uongozi JF mnipige ban ya maisha..

Simba akifuzu Uongozi JF mnipige ban ya maisha..

Ushawahi kuona mtu anagongeshwa nyumbani kwake tena mlangoni kwa nyumba yake mbele ya mke na watoto wake?


Wait................!!!!
 
Simba wakitolewa na Mazembe performance ya timu itapotea. .ubingwa wataweka rehani..Mfano Real Madrid
 
Nilifikiri upo humu na ID hii 2006.. umekosa la kufikiri..
 
Back
Top Bottom