Erickford4
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 1,133
- 1,098
Ndio maana nimetoa haadi kubwa sana katika maisha yangu JF tena kwa vyovyote vileUkipigwa ban si utarudi na akaunti nyengine? Kuwa serious bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu mimi ni kubwa sana tunatofautiana mitazamo JF ni kisima cha maarifaAhadi kubwa kwenye maisha yako ni kupigwa ban JF?
Unadhirisha uwezo wako wa kufikiri ulivyo dhaifu. Ficha ujahilia wako .
Hiko kupasi kufensi mukono ya nyani mugoli mutano Lubumbashi hatoki mutuKama hii nakuwanga wanza ya Simba, mule ya Lubumbashi ni wanza ya TP Mazembe...Simba akuye tumufunze kupiga mpira