Simba akifuzu Uongozi JF mnipige ban ya maisha..

Simba akifuzu Uongozi JF mnipige ban ya maisha..

Ahadi kubwa kwenye maisha yako ni kupigwa ban JF?
Unadhirisha uwezo wako wa kufikiri ulivyo dhaifu. Ficha ujahilia wako .
 
Ahadi kubwa kwenye maisha yako ni kupigwa ban JF?
Unadhirisha uwezo wako wa kufikiri ulivyo dhaifu. Ficha ujahilia wako .
Kwangu mimi ni kubwa sana tunatofautiana mitazamo JF ni kisima cha maarifa
 
Kama hii nakuwanga wanza ya Simba, mule ya Lubumbashi ni wanza ya TP Mazembe...Simba akuye tumufunze kupiga mpira
 
Hivi unaweza kunisaidia kujua walinzi wa simba leo wamehongwa sh ngap!!!!!!!!! Mana ile kabaj tumeizoea kwa mwenye funza tu kuchezea uwanja wa nyas zilizochomwa moto znachepuka au ukabaj wa Nkurunziza akiwa mazoez
 
Back
Top Bottom