hewamkaa
Member
- Mar 30, 2023
- 85
- 127
Simba ni Azam B. Narudia tena, Simba ni Azam B. Inasemekana, mwenye njaa hachagui chakula. Kumbe, hata timu isiyo na taji, hilazimika kujishikiza popote.
Ona sasa, Simba wanavyohangaika. Mara oh, Faisal ni mkali kuliko Ki, mara oh Azam ni bora Yanga ndondocha. Wakati huo Azam wametulia tuli, wakiacha ikiwapigia promo. Haya mambo bwana, we acha tu