Unajua kuwa kuna mkataba umesainiwa korea wiki hii?Simba ni Azam B. Narudia tena, Simba ni Azam B. Inasemekana, mwenye njaa hachagui chakula. Kumbe, hata timu isiyo na taji, hilazimika kujishikiza popote.
Ona sasa, Simba wanavyohangaika. Mara oh, Faisal ni mkali kuliko Ki, mara oh Azam ni bora Yanga ndondocha. Wakati huo Azam wametulia tuli, wakiacha ikiwapigia promo. Haya mambo bwana, we acha tu
Ulichokiandika hata hakieleweki, inaonekana una hasira sana sasa umekuja kujificha kwenye mambo ya Simba na YangaSimba ni Azam B. Narudia tena, Simba ni Azam B. Inasemekana, mwenye njaa hachagui chakula. Kumbe, hata timu isiyo na taji, hilazimika kujishikiza popote.
Ona sasa, Simba wanavyohangaika. Mara oh, Faisal ni mkali kuliko Ki, mara oh Azam ni bora Yanga ndondocha. Wakati huo Azam wametulia tuli, wakiacha ikiwapigia promo. Haya mambo bwana, we acha tu
Mwamedi.Guvu moya
Umeandika huu ujinga ukiwa south Korea we mpuuzi. Rudi nyumbani una kesi ya kujibu huku.Simba ni Azam B. Narudia tena, Simba ni Azam B. Inasemekana, mwenye njaa hachagui chakula. Kumbe, hata timu isiyo na taji, hilazimika kujishikiza popote.
Ona sasa, Simba wanavyohangaika. Mara oh, Faisal ni mkali kuliko Ki, mara oh Azam ni bora Yanga ndondocha. Wakati huo Azam wametulia tuli, wakiacha ikiwapigia promo. Haya mambo bwana, we acha tu
KolozdadaMwamedi.
Ngoja yanga wamchukue benchikaSimba ni Azam B. Narudia tena, Simba ni Azam B. Inasemekana, mwenye njaa hachagui chakula. Kumbe, hata timu isiyo na taji, hilazimika kujishikiza popote.