Simba akili kubwa, kwa makusudi hawajapromote mechi ya leo ili watu waende wakapige kura

Simba akili kubwa, kwa makusudi hawajapromote mechi ya leo ili watu waende wakapige kura

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kura yako ni muhimi kuliko kelele zako uwanjani.

Kura yako ni muhimu kukiko 3000 yako ya kiingilio

Kurayako ni muhimu hata tukifungwa bado kuna mechi tano

Kapige kura,mpira utaangaliabaada ya kupiga kura

Kama uongozi ungeamua kuipromote mechi uwanja ungejaa ,watu wanaipenda Simba kuliko hao viongozi.
 
Back
Top Bottom