Na mimi ndo nipo hapa kwa ATM natoa kibunda[emoji16][emoji16][emoji16]Leo naenda kulewa nusu ya pesa ninazomiliki
Endelea kuwa na msimamo huu.Haki ya mama utakujaga Uolewe kiutani utaniSimba hana uwezo wa kumfunga yanga
Akishinda hii game Mimi nakuwa mwanachama wa ccm
Yanga anaenda kushinda hii game na vyombo vya habari Tanzania vinawapoteza watu kama walivyofanya kwa Man city na Chelsea ile fainali ya UEFA.
Simba anakufa na atakufa tena kigoma gemu yq FA.
Je umejiunga?Simba hana uwezo wa kumfunga yanga
Akishinda hii game Mimi nakuwa mwanachama wa ccm
Yanga anaenda kushinda hii game na vyombo vya habari Tanzania vinawapoteza watu kama walivyofanya kwa Man city na Chelsea ile fainali ya UEFA.
Simba anakufa na atakufa tena kigoma gemu yq FA.
Ukweli usiopingika ni kuwa SIMBA ndio mabingwa wa ligi kuu...!!!Simba hana uwezo wa kumfunga yanga
Akishinda hii game Mimi nakuwa mwanachama wa ccm
Yanga anaenda kushinda hii game na vyombo vya habari Tanzania vinawapoteza watu kama walivyofanya kwa Man city na Chelsea ile fainali ya UEFA.
Simba anakufa na atakufa tena kigoma gemu ya FA.
Unaugulia maumivu ukitokea wapiHongereni kwa uchawi
Una vituko Castr na iyo avatar picha yakoMkuu kwani wewe siyo CCM?
Mlibet?Sio unataka kujiunga CCM kijanja?
Tubet elfu 30 mbele ya hadhara mkuu
Simba anaua
Jamaa kashinda betNaona unakaribia kuunga juhudi wewe.
Aiseeee !! Mzee Mpili umetishaSimba hana uwezo wa kumfunga yanga
Akishinda hii game Mimi nakuwa mwanachama wa ccm
Yanga anaenda kushinda hii game na vyombo vya habari Tanzania vinawapoteza watu kama walivyofanya kwa Man city na Chelsea ile fainali ya UEFA.
Simba anakufa na atakufa tena kigoma gemu ya FA.
Sasa utaambia nini watu?Yanga tutamfunga pote kwa Mkapa na Kigoma
Hakika mkuu Mungu amekunusuru dhidi ya mdomo wa Mamba.Leo naenda kulewa nusu ya pesa ninazomiliki