Simba akishinda najiunga na CCM

Simba akishinda najiunga na CCM

нongera мwanacнι вaĸι υpιnzanι тυzιdι ĸυjenga ncнι
[emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji1][emoji1787]
#daimambelenyumamwiko
 
Simba hana uwezo wa kumfunga yanga

Akishinda hii game Mimi nakuwa mwanachama wa ccm

Yanga anaenda kushinda hii game na vyombo vya habari Tanzania vinawapoteza watu kama walivyofanya kwa Man city na Chelsea ile fainali ya UEFA.

Simba anakufa na atakufa tena kigoma gemu yq FA.
Endelea kuwa na msimamo huu.Haki ya mama utakujaga Uolewe kiutani utani
 
Simba hana uwezo wa kumfunga yanga

Akishinda hii game Mimi nakuwa mwanachama wa ccm

Yanga anaenda kushinda hii game na vyombo vya habari Tanzania vinawapoteza watu kama walivyofanya kwa Man city na Chelsea ile fainali ya UEFA.

Simba anakufa na atakufa tena kigoma gemu yq FA.
Je umejiunga?
 
Uko vizuri mkuu, hongera kwa ushindi!
 
Simba hana uwezo wa kumfunga yanga

Akishinda hii game Mimi nakuwa mwanachama wa ccm

Yanga anaenda kushinda hii game na vyombo vya habari Tanzania vinawapoteza watu kama walivyofanya kwa Man city na Chelsea ile fainali ya UEFA.

Simba anakufa na atakufa tena kigoma gemu ya FA.
Ukweli usiopingika ni kuwa SIMBA ndio mabingwa wa ligi kuu...!!!
 
Simba hana uwezo wa kumfunga yanga

Akishinda hii game Mimi nakuwa mwanachama wa ccm

Yanga anaenda kushinda hii game na vyombo vya habari Tanzania vinawapoteza watu kama walivyofanya kwa Man city na Chelsea ile fainali ya UEFA.

Simba anakufa na atakufa tena kigoma gemu ya FA.
Aiseeee !! Mzee Mpili umetisha
 
Back
Top Bottom