Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Jiandae kulambwa banned mkuu kuna mwna humu alilambwa banned ya maisha kwa masihara kama yakoAchana na hizo ndoto mkuu
Management ya jf hawako kwa ajili ya watu wenye akili za kitopolo. Hata SSC akifungwa utaendelea na kulalamika kwamba marefa wanapendelea hakuna wa kukupa ban.Mimi kama Labani og kwa akili zangu timamu bila kushawishiwa na mtu I decided to declare that if Simba (kolo) will win tomorrow's match against giant Al Ahly let my account be banned for 3 days.
Kwa mliokimbia umande,
Kama Simba atashinda kesho, au. tafunga hata off-side goal basi nipigwe ban kwa siku 3, pia ban yangu isindikizwe na ndugu yangu wa damu Kalpana.
Lengo la kufanya hivi ni kuhakikisha kuwapa moyo makolo washinde kwa njia yeyote japo najua makolo hawawezi kushinda.
NB: Kama unataka kumbetia kolo basi hiyo pesa nunua sabuni then pigia puri.
View attachment 2786239
Hii picha ilipigwa kwenye tanuru la moto![emoji1787][emoji1787]Mimi kama Labani og kwa akili zangu timamu bila kushawishiwa na mtu I decided to declare that if Simba (kolo) will win tomorrow's match against giant Al Ahly let my account be banned for 3 days.
Kwa mliokimbia umande,
Kama Simba atashinda kesho, au. tafunga hata off-side goal basi nipigwe ban kwa siku 3, pia ban yangu isindikizwe na ndugu yangu wa damu Kalpana.
Lengo la kufanya hivi ni kuhakikisha kuwapa moyo makolo washinde kwa njia yeyote japo najua makolo hawawezi kushinda.
NB: Kama unataka kumbetia kolo basi hiyo pesa nunua sabuni then pigia puri.
View attachment 2786239
Hii hali iko kwa Simba siyo Yanga.
Huyu jamaa itakuwa ni mchawi na mshabiki wa yanga haiwezekani akazijua hali hizo na asiwe miongoni mwao
Ain't enough should be 3 years3 days
Kwa huu mwandiko, Simba atachezea kichapo wallah..!!Tataizo la kulala bila kula,akili zina yumba jitahidi uwe unakula rishe bora.
Kwa hiyo wewe ni yupi hapo kwenye hiyo picha mliyopiga kibanda umiza?Mimi kama Labani og kwa akili zangu timamu bila kushawishiwa na mtu I decided to declare that if Simba (kolo) will win tomorrow's match against giant Al Ahly let my account be banned for 3 days.
Kwa mliokimbia umande,
Kama Simba atashinda kesho, au. tafunga hata off-side goal basi nipigwe ban kwa siku 3, pia ban yangu isindikizwe na ndugu yangu wa damu Kalpana.
Lengo la kufanya hivi ni kuhakikisha kuwapa moyo makolo washinde kwa njia yeyote japo najua makolo hawawezi kushinda.
NB: Kama unataka kumbetia kolo basi hiyo pesa nunua sabuni then pigia puri.
View attachment 2786239
Mtu wa kumla tako huyu jamaa tumkabidhi akanyambasira Na mzabzabMechi ya Singida Fountain vs Simba wewe Labani og ulisema kitu kinachofanana na hiki, nikakwambia Simba lazima ashinde wewe andaa tako tu.
Nasikitika kwamba bado hujatoa tako hadi leo. Au sisi mashabiki wa Simba hatupaswi kukuomba kitu kingine zaidi ya hiyo uliyojiombea ya kupigwa ban?
Ila na ww kazi unayo jirani...