Simba akishinda nipigwe ban hapa JF

Simba akishinda nipigwe ban hapa JF

Mimi kama Labani og kwa akili zangu timamu bila kushawishiwa na mtu I decided to declare that if Simba (kolo) will win tomorrow's match against giant Al Ahly let my account be banned for 3 days.

Kwa mliokimbia umande,
Kama Simba atashinda kesho, au. tafunga hata off-side goal basi nipigwe ban kwa siku 3, pia ban yangu isindikizwe na ndugu yangu wa damu Kalpana.

Lengo la kufanya hivi ni kuhakikisha kuwapa moyo makolo washinde kwa njia yeyote japo najua makolo hawawezi kushinda.

NB: Kama unataka kumbetia kolo basi hiyo pesa nunua sabuni then pigia puri.

View attachment 2786239
Management ya jf hawako kwa ajili ya watu wenye akili za kitopolo. Hata SSC akifungwa utaendelea na kulalamika kwamba marefa wanapendelea hakuna wa kukupa ban.
 
Hii picha ilipigwa kwenye tanuru la moto![emoji1787][emoji1787]
 
Management ya jf hawako kwa ajili ya watu wenye akili za kitopolo. Hata SSC akifungwa utaendelea na kulalamika kwamba marefa wanapendelea hakuna wa kukupa ban.
Kumbe unaelewa .....Simba atapigwa [emoji23][emoji23]
 
Kiswahili kuandika hujui unajaribu kuandika kiingereza. Hujui kutumia maneno ya kiingereza ipasavyo.Makosa mengi katika sentence construction.
Tukirudi kwenye mada huwa unaahidi halafu hutimizi.Kuna kitu uliaahidi kutoa Singida akifungwa amefungwa umekaa kimya. Wacha kutoa ahadi za kibwege.Kosa langu kumbe mtu mwenyewe bwege.
 
Mimi kama Labani og kwa akili zangu timamu bila kushawishiwa na mtu I decided to declare that if Simba (kolo) will win tomorrow's match against giant Al Ahly let my account be banned for 3 days.

Kwa mliokimbia umande,
Kama Simba atashinda kesho, au. tafunga hata off-side goal basi nipigwe ban kwa siku 3, pia ban yangu isindikizwe na ndugu yangu wa damu Kalpana.

Lengo la kufanya hivi ni kuhakikisha kuwapa moyo makolo washinde kwa njia yeyote japo najua makolo hawawezi kushinda.

NB: Kama unataka kumbetia kolo basi hiyo pesa nunua sabuni then pigia puri.

View attachment 2786239
Kwa hiyo wewe ni yupi hapo kwenye hiyo picha mliyopiga kibanda umiza?
 
Mechi ya Singida Fountain vs Simba wewe Labani og ulisema kitu kinachofanana na hiki, nikakwambia Simba lazima ashinde wewe andaa tako tu.

Nasikitika kwamba bado hujatoa tako hadi leo. Au sisi mashabiki wa Simba hatupaswi kukuomba kitu kingine zaidi ya hiyo uliyojiombea ya kupigwa ban?
Mtu wa kumla tako huyu jamaa tumkabidhi akanyambasira Na mzabzab
 
Back
Top Bottom