Simba akishinda nipigwe ban hapa JF

Simba akishinda nipigwe ban hapa JF

Kwakweli watani kesho wanamechi ngumu sana ila tunawaombea ushindi wakufungwa goli chache.

Kiuzalendo tuwaombee washinde sema tatizo unakutana na Ahly Knockout stage hakuna option nyingine ila kufungwa tu!
ila naskia SIMBA wanarekodi za kuwafunga na kuwaondoa mabingwa.
Simba ni mbabe Kwa waarabu wa coastal......ila sio waarabu weupe
 
Mimi kama Labani og kwa akili zangu timamu bila kushawishiwa na mtu I decided to declare that if Simba (kolo) will win tomorrow's match against giant Al Ahly let my account be banned for 3 days.

Kwa mliokimbia umande,
Kama Simba atashinda kesho, au. tafunga hata off-side goal basi nipigwe ban kwa siku 3, pia ban yangu isindikizwe na ndugu yangu wa damu Kalpana.

Lengo la kufanya hivi ni kuhakikisha kuwapa moyo makolo washinde kwa njia yeyote japo najua makolo hawawezi kushinda.

NB: Kama unataka kumbetia kolo basi hiyo pesa nunua sabuni then pigia puri.

View attachment 2786239
Wewe utakuwa ni james delishaz. Ukilala ukiamka Simba
 
Kuna wenzako waligongewa wake zao kwa ujinga ujinga kama huu wakusema.
Mzaha mzaha mbuzi alimpanda mama yake.
 
Simba akishinda nipegwe ban mpaka tarehe 1/1/2024
Maxence Melo na uongozi wako zingatia hili tafadhali bila kusita.

Kila la heri mtani ila huchomoki na ushindi nyumbani.
Hauna effect yoyote hapa jf na hakuna tofauti itakayoonekana kama ukipigwa ban au hautapigwa ban!! It makes no difference!! Wala hatutagundua kama haupo au kinyume chake!! Ungekuwa na status kama ya Mshana Jr hapo sawa!!
 
Hauna effect yoyote hapa jf na hakuna tofauti itakayoonekana kama ukipigwa ban au hautapigwa ban!! It makes no difference!! Wala hatutagundua kama haupo au kinyume chake!! Ungekuwa na status kama ya Mshana Jr hapo sawa!!
Hayo uliyoyasema sidhan kama yanahusiana na nilichokisema
 
Back
Top Bottom