Simba akishinda nipigwe ban hapa JF

Simba akishinda nipigwe ban hapa JF

LABAN og mbona kama umepatwa na tumbo la kuhara...sisi hilo halituhusu..
Tunasherehekea ushindi mpk sasa wa kuwa timu ya kwanza Tanzania kuwepo kwny mashindano haya mapya na mkubwa barani Africa...huo ni ushindi tosha...
Yani mpk aljazeera kesho wataturusha kwny taarifa zao...
Nyie endeleeni kuhara
 
Halafu moderators huyu mtopolo huwa mnamwachia hamumpigi Ban la maisha anawatania sana si mechi ya kwanza kuomba Ban..tafuteni hizo thread zao muwapige Ban la maisha watutoleee uchuro wao
 
Kiswahili kuandika hujui unajaribu kuandika kiingereza. Hujui kutumia maneno ya kiingereza ipasavyo.Makosa mengi katika sentense construction.
Tukirudi kwenye mada huwa unaahidi halafu hutimizi.Kuna kitu uliaahidi kutoa Singida akifungwa amefungwa umekaa kimya. Wacha kutoa ahadi za kibwege.Kosa langu kumbe mtu mwenyewe bwege.
Yajayo yanatisha
 
LABAN og mbona kama umepatwa na tumbo la kuhara...sisi hilo halituhusu..
Tunasherehekea ushindi mpk sasa wa kuwa timu ya kwanza Tanzania kuwepo kwny mashindano haya mapya na mkubwa barani Africa...huo ni ushindi tosha...
Yani mpk aljazeera kesho wataturusha kwny taarifa zao...
Nyie endeleeni kuhara
Hilo sikatai mkuu.....nawapongeza

Ila swala la kumfunga Al ahly it's impossible
 
Halafu moderators huyu mtopolo huwa mnamwachia hamumpigi Ban la maisha anawatania sana si mechi ya kwanza kuomba Ban..tafuteni hizo thread zao muwapige Ban la maisha watutoleee uchuro wao
Subiri matokeo ya kesho mkuu
 
Mimi kama Labani og kwa akili zangu timamu bila kushawishiwa na mtu I decided to declare that if Simba (kolo) will win tomorrow's match against giant Al Ahly let my account be banned for 3 days.

Kwa mliokimbia umande,
Kama Simba atashinda kesho, au. tafunga hata off-side goal basi nipigwe ban kwa siku 3, pia ban yangu isindikizwe na ndugu yangu wa damu Kalpana.

Lengo la kufanya hivi ni kuhakikisha kuwapa moyo makolo washinde kwa njia yeyote japo najua makolo hawawezi kushinda.

NB: Kama unataka kumbetia kolo basi hiyo pesa nunua sabuni then pigia puri.

View attachment 2786239
Aaaahaahaaa
 
Back
Top Bottom