Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
😂😂 bado hujasema yani ulipotea unarudi unataka nipoteeYaani nipo nacheki game kwa ajili yako, nipate kuwashtua mods mapema incase wakijisahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 bado hujasema yani ulipotea unarudi unataka nipoteeYaani nipo nacheki game kwa ajili yako, nipate kuwashtua mods mapema incase wakijisahau
🤣🤣😂😂 bado hujasema yani ulipotea unarudi unataka nipotee
Sawa na utaendelea kuniona humu kabla ya trh 1 mwakan🤣🤣
Wacha tusubiri, tulia
Hongera, umekwepa ban.Mimi kama Labani og kwa akili zangu timamu bila kushawishiwa na mtu I decided to declare that if Simba (kolo) will win tomorrow's match against giant Al Ahly let my account be banned for 3 days.
Kwa mliokimbia umande,
Kama Simba atashinda kesho, au. tafunga hata off-side goal basi nipigwe ban kwa siku 3, pia ban yangu isindikizwe na ndugu yangu wa damu Kalpana.
Lengo la kufanya hivi ni kuhakikisha kuwapa moyo makolo washinde kwa njia yeyote japo najua makolo hawawezi kushinda.
NB: Kama unataka kumbetia kolo basi hiyo pesa nunua sabuni then pigia puri.
View attachment 2786239
Bahati yako weweSawa na utaendelea kuniona humu kabla ya trh 1 mwakan
Kwahyo saivi unakana hujui mpira?Sijui bana, me na mpira wapi na wapi🤣🤣
Watu tulishaangalia mechi kabla hata haijachezwa😂Bahati yako wewe
Kipo wapi
Mpira ni kwa ajili ya wanaume bana, me zangu tamthiliaKwahyo saivi unakana hujui mpira?
Tamthilia kwan we mkorea 😂Mpira ni kwa ajili ya wanaume bana, me zangu tamthilia
Sawa mkuu tukupige ban??Mimi kama Labani og kwa akili zangu timamu bila kushawishiwa na mtu I decided to declare that if Simba (kolo) will win tomorrow's match against giant Al Ahly let my account be banned for 3 days.
Kwa mliokimbia umande,
Kama Simba atashinda kesho, au. tafunga hata off-side goal basi nipigwe ban kwa siku 3, pia ban yangu isindikizwe na ndugu yangu wa damu Kalpana.
Lengo la kufanya hivi ni kuhakikisha kuwapa moyo makolo washinde kwa njia yeyote japo najua makolo hawawezi kushinda.
NB: Kama unataka kumbetia kolo basi hiyo pesa nunua sabuni then pigia puri.
View attachment 2786239
Vp kuhusu banUzi umefungwa....tusubir j4
[emoji32][emoji32]Huyu achaneni nae mkimfukuza humu ataenda wapi jamani?.kuandika kuhusu Simba ndo faraja yake pekee asije jinyonga bureeee?.tukapoteza memba