Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Mchezo umeshaisha. Simba akishinda leo nipigwe ban ya Siku 3. Sioni hawa madogo wa mikia wakishinda. Sioni kila nikiangalia naona wamejawa na kipigo tu na hamna team pale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli mchungu.Mchezo umeshaisha.... Simba akishinda leo nipigwe ban ya Siku 3. Sioni hawa madogo wa mikia wakishinda. Sioni kila nikiangalia naona wamejawa na kipigo tu na hamna team pale.
Umezungumzia kushindwa halafu kutoa Sare hujaweka wazi. Sema kwa kunyooka ili upigwe ban wakishinda au wakitoa sare. Pia ongezea Ile ahadi nyingine ya YasMchezo umeshaisha.... Simba akishinda leo nipigwe ban ya Siku 3. Sioni hawa madogo wa mikia wakishinda. Sioni kila nikiangalia naona wamejawa na kipigo tu na hamna team pale.
Hamna kitu kama hicho.Watakulamba ban ngoja muda ufike
Moderator kwa heshima na taadhima na Mimi naomba ban Unyamer ya siku 3 kama Kolo akishinda.Namimi najiongeza hapo kama kifungashio simba ikipata ushindi leo nipigwe ban siku 7 naomba moderetor muheshimu maamuzi yangu
Hii ndio definition halisi ya UCHAWIMchezo umeshaisha.... Simba akishinda leo nipigwe ban ya Siku 3. Sioni hawa madogo wa mikia wakishinda. Sioni kila nikiangalia naona wamejawa na kipigo tu na hamna team pale.