Simba akishinda nipigwe ban ya siku 3. Leo hata draw hawapati, ni kipigo watake wasitake

Simba akishinda nipigwe ban ya siku 3. Leo hata draw hawapati, ni kipigo watake wasitake

Mashabiki wengi wa Yanga Wana roho mbaya hata kwenye maisha ya mtaani na tatizo la afya ya akili pia.

Sijawahi kuona uzi wa Mshabiki wa Simba akiandika kuomba Ban eti Yanga ikifungwa nipigwe BAN.

Jipendeni Wananchi 😅😅😅
 
Mchezo umeshaisha.... Simba akishinda leo nipigwe ban ya Siku 3. Sioni hawa madogo wa mikia wakishinda. Sioni kila nikiangalia naona wamejawa na kipigo tu na hamna team pale.
Hivi wewe kwa nini unatoa ahadi mapema hivi kama yule Shetani wa Yanga?
 
Back
Top Bottom