Simba akitokea mahali lazima wanyama wengine wakimbie, ndo kilichotokea UN baada ya Waziri Mkuu wa Israel kusimama

That's is disrespect ukiona mtu aliekua anakuhehimu hakusikilizi Tena ni kweli yawezekana umekua Simba au umekua mkia wa mbuzi, maana ule upo tu haufuniki tupu Wala haufukuzi nzi...pima Sana Raia wa Israel Sasa wako katka condition ipi kati ya hizo mbili
 
Unakataa Kumsikiliza Waziri mkuu wa Israel lakini unatumia ChatGPT
 
Kwa nini walitoka nje Zawadi ?
 
Waarabu wengi hawasikii maneno MKUU ni vitendo TU kama Israel
Heshima kwao Hadi watoke damu masikioni
 
SIMBA ni SIMBA tu akiingia sehemu yoyote lazima wala mizoga watimue mbio maana hawana uwezo wowote wa kufanya na hawana hoja yoyote ya kuhoji na wanaona aibu kusemwa/kuambiwa uovu wao mbele yao!!!
 

Attachments

  • IMG_4401.jpeg
    243.3 KB · Views: 20
Nisaawa na pale mtekaji anapojongea walipo waungwana!
 

Kwani bi nyau mwenyewe anasema je baada ya aliohitaji wamsikie kumpiga chini ruthlessly?
 
Kama Simba kweli aende Gaza akapambane na wanamgambo wa Hamas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…