Simba akitokea mahali lazima wanyama wengine wakimbie, ndo kilichotokea UN baada ya Waziri Mkuu wa Israel kusimama

Simba akitokea mahali lazima wanyama wengine wakimbie, ndo kilichotokea UN baada ya Waziri Mkuu wa Israel kusimama

SIMBA ni simba

Kama huwezi kushindana naye Bora utimue mbio
Mtu mwenye uwezo kushindana naye huna haja ya kumkimbia

Asilimia kubwa ya mataifa ya kiarabu Yana historia ya kuchapwa na Israel.
Kwa hiyo Kwa aibu imebidi WAKIMBIE Netanyahu

God bless Israel
Nakushauri kapime akili zako
 
Wewe kweli kiande, inawezekana vipi aliyekuwa anakusikiliza anakudharau kisha iwe heshima?
 
Wewe kweli kiande, inawezekana vipi aliyekuwa anakusikiliza anakudharau kisha iwe heshima?
SIMBA akiingia sehemu Mbwa wote lazima watoke mbio!!
 

Attachments

  • IMG_4401.jpeg
    IMG_4401.jpeg
    243.3 KB · Views: 16
Kwani wanaopigana Sasa hivi huko Gaza ni wafuga midevu na majini wenzenu?
Huyo shoga mwenzako Bibi Nyau aende Gaza kama yeye mwanamme , nyote wachumba tu nyie mbele ya wanaume wa Hamas, kama si mabomu na silaha na misaada kutoka Marekani mngekua mshamalizwa mbwa nyie
 
Tangu lini waarabu wakasikia Kwa maneno matupu bila vitendo ?
Unatoka alafu unafuatilia live stream au YouTube hizo akili ??
Hiki kitu ndio kimenichekesha yani watu wanatoka ukumbini halafu baadae wanakuja kuichambua hotuba waliyokataa kuisikiliza

Unajiuliza huyu aliondoka ukumbini hii hotuba kaisikia wapi?
 
SIMBA ni simba

Kama huwezi kushindana naye Bora utimue mbio
Mtu mwenye uwezo kushindana naye huna haja ya kumkimbia

Asilimia kubwa ya mataifa ya kiarabu Yana historia ya kuchapwa na Israel.
Kwa hiyo Kwa aibu imebidi WAKIMBIE Netanyahu

God bless Israel
Netanyau kama maji watamtafuta tu, ngoja walipuliwe na mabomu ya maigaidi nchi mwao watarudi mbio kwa mtaalamu wa kutrace magaidi Netanyau awasaidie kuwasaka walipuaji hao.
 
Taifa langu la Tanzania halipaswi kutoka nje Netanyahu anapohutubia. itakuwa ni kituko kama likitoka na itaonekana ni bendera fuata upepo kujipendekeza kwa mataifa ya kiarabu yenye uhasama na Israel na yale ya magharibi yaliyoinuka kinyume na Israel. Hatuna uhasama na chuki na Israel na hatufungamani na siasa zozote za pande za dunia. Hao waliotoka watoke tu ila Tanzania isifuate mkumbo wa siasa za mashariki ya kati zina wenyewe hazituhusu tusimame katikati, neutral
 
SIMBA ni simba

Kama huwezi kushindana naye Bora utimue mbio
Mtu mwenye uwezo kushindana naye huna haja ya kumkimbia

Asilimia kubwa ya mataifa ya kiarabu Yana historia ya kuchapwa na Israel.
Kwa hiyo Kwa aibu imebidi WAKIMBIE Netanyahu

God bless Israel
Ule umati wote uliotoka unataka kusema ni waarabu tupu
 
That's is disrespect ukiona mtu aliekua anakuhehimu hakusikilizi Tena ni kweli yawezekana umekua Simba au umekua mkia wa mbuzi, maana ule upo tu haufuniki tupu Wala haufukuzi nzi...pima Sana Raia wa Israel Sasa wako katka condition ipi kati ya hizo mbili

Huo ni woga na kutojiamini. Mwanaume kuna sehemu ukiingia wanawake wote wanaondoka au vibwengo ndo mi napenda hivyo. Kuna vijiwe nikija bongo nikitia team tu watu lazima waende msalani mwanaume nmekuja hakuna kucheka na mafisi nagonga tu.
 
Back
Top Bottom