Kwani wanaopigana Sasa hivi huko Gaza ni wafuga midevu na majini wenzenu?Kama Simba kweli aende Gaza akapambane na wanamgambo wa Hamas
Nakushauri kapime akili zakoSIMBA ni simba
Kama huwezi kushindana naye Bora utimue mbio
Mtu mwenye uwezo kushindana naye huna haja ya kumkimbia
Asilimia kubwa ya mataifa ya kiarabu Yana historia ya kuchapwa na Israel.
Kwa hiyo Kwa aibu imebidi WAKIMBIE Netanyahu
God bless Israel
Wewe ndiyo ukapimwe mkojo wako!!Nakushauri kapime akili zako
Mkojo wangu uko safi kabisa sababu siwakojolei mashoga 😄 🤣Wewe ndiyo ukapimwe mkojo wako!!
SIMBA akiingia sehemu Mbwa wote lazima watoke mbio!!Wewe kweli kiande, inawezekana vipi aliyekuwa anakusikiliza anakudharau kisha iwe heshima?
Huyo shoga mwenzako Bibi Nyau aende Gaza kama yeye mwanamme , nyote wachumba tu nyie mbele ya wanaume wa Hamas, kama si mabomu na silaha na misaada kutoka Marekani mngekua mshamalizwa mbwa nyieKwani wanaopigana Sasa hivi huko Gaza ni wafuga midevu na majini wenzenu?
Na umesoma yoteUmeandika utumbo wa bata
Huhitaji D mbili kuelewa kwamba simba akiunguruma LAZIMA mafisi kina kosongo wang'oe mbioNakushauri kapime akili zako
Tangu lini waarabu wakasikia Kwa maneno matupu bila vitendo ?Wewe kweli kiande, inawezekana vipi aliyekuwa anakusikiliza anakudharau kisha iwe heshima?
Hiki kitu ndio kimenichekesha yani watu wanatoka ukumbini halafu baadae wanakuja kuichambua hotuba waliyokataa kuisikilizaTangu lini waarabu wakasikia Kwa maneno matupu bila vitendo ?
Unatoka alafu unafuatilia live stream au YouTube hizo akili ??
Better ukafanya hivyo. BetterTangu lini waarabu wakasikia Kwa maneno matupu bila vitendo ?
Unatoka alafu unafuatilia live stream au YouTube hizo akili ??
Netanyau kama maji watamtafuta tu, ngoja walipuliwe na mabomu ya maigaidi nchi mwao watarudi mbio kwa mtaalamu wa kutrace magaidi Netanyau awasaidie kuwasaka walipuaji hao.SIMBA ni simba
Kama huwezi kushindana naye Bora utimue mbio
Mtu mwenye uwezo kushindana naye huna haja ya kumkimbia
Asilimia kubwa ya mataifa ya kiarabu Yana historia ya kuchapwa na Israel.
Kwa hiyo Kwa aibu imebidi WAKIMBIE Netanyahu
God bless Israel
Walitoka nje kwa sababu hawana uwezo wa kumtoa yeye. Kama wangekuwa wanammudu wangepinga kuhutibia wakiwa humohumo kwenye mkutano.Kwa nini walitoka nje Zawadi ?
mjuba ina maana hujaona upinde wakisapoti palestina kwa maandamano?Wale nyumbu wa kile chama cha upinde mahaba yao kwa huyo ni makubwa sana
mjuba ina maana hujaona upinde wakisapoti palestina kwa maandamano?
Palestine hawaungi mkono huo uchafu ,Israel ndio baba anaelea huo uchafu na hilo lipo wazi ,hata wewe unajua.
Ule umati wote uliotoka unataka kusema ni waarabu tupuSIMBA ni simba
Kama huwezi kushindana naye Bora utimue mbio
Mtu mwenye uwezo kushindana naye huna haja ya kumkimbia
Asilimia kubwa ya mataifa ya kiarabu Yana historia ya kuchapwa na Israel.
Kwa hiyo Kwa aibu imebidi WAKIMBIE Netanyahu
God bless Israel
That's is disrespect ukiona mtu aliekua anakuhehimu hakusikilizi Tena ni kweli yawezekana umekua Simba au umekua mkia wa mbuzi, maana ule upo tu haufuniki tupu Wala haufukuzi nzi...pima Sana Raia wa Israel Sasa wako katka condition ipi kati ya hizo mbili