Simba ana kikosi cha kawaida mno kwa Azam

Ulishawahi kuanguka chooni ukiwa mdogo? Tusije kubishana na wewe kumbe kichwani kipa katoka
 
Ulishawahi kuanguka chooni ukiwa mdogo? Tusije kubishana na wewe kumbe kichwani kipa katoka
Kauli za kishoga kutoka kwa shost ake na mama.
 
Teh teh teheeeeeeeeeeee
Tunza uo ushuzi nikuoneshe kitu
Jifunze kuandika kwanza
 
Sawa,haya kanywe maji baridi utulie.
 
Mtu na dada yake hao,na kama kawaida dada mtu atapewa point3,kama sio huo undugu basi mikia mapema sana wangekufa
Huyo muanzisha thread ni mkoa, sijui kaona kipigo kinawanyemelea kaamua ajifiche kwenye chaka la azam
 
Mechi leo saa ngapi simba vs azam
 
Ushabiki kazi Sana ndugu zangu,,, yaani Simba ipambane na miamba wa Africa ije ishindwe Azam .

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kama kawaida msituangushe leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…