ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Hii nadharia ya kuwasema Wanaoshiriki Shirikisho ni waliofeli sio sahihi, hii ni kujificha kwenye kivuli Cha kufeli Kwa Magungu.
Kuna michuano wanaita CAF champions League, yaani michuano ya Mabingwa , Sasa kama ndo hivo basi Simba hakupaswa kushiriki Ligi hiyo kwakuwa Huyu Simba si bingwa wa michuano yoyote lakini ameenda kushiriki Ligi ya Mabingwa, ni uhuni tu umetumika, Simba anashirikije Ligi ya Mabingwa wakati yeye sio bingwa.
MANGUNGU AJIUZULU