ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Wapumzisheni Watani zetu Makolokolo jamani, msijefanya tukakosa kombe la CAFCCL kwa dua zao mbaya juu yetu Utopolo.Hii nadharia ya kuwasema Wanaoshiriki Shirikisho ni waliofeli sio sahihi, hii ni kujificha kwenye kivuli Cha kufeli Kwa Magungu.
Kuna michuano wanaita CAF champions League, yaani michuano ya Mabingwa , Sasa kama ndo hivo basi Simba hakupaswa kushiriki Ligi hiyo kwakuwa Huyu Simba si bingwa wa michuano yoyote lakini ameenda kushiriki Ligi ya Mabingwa, ni uhuni tu umetumika, Simba anashirikije Ligi ya Mabingwa wakati yeye sio bingwa.
MANGUNGU AJIUZULU
Inabidi sasa tumwambie injinia akalalamike CAS maana CAF wanaipendelea sana Simba, na wameichagua kabisa ishiriki michuano ya Super League... Simba hakupaswa kushiriki Ligi hiyo kwakuwa Huyu Simba si bingwa
Basi iitwe Ligi ya points Africa, sio Ligi ya mabingwawaache simba washiriki!!! hiyo nafasi waliitengeneza wenyewe baada ya kukusanya points nyingi caf na kuiwezesha timu nne kutoka Tanzania kuingia moja kwa moja kwenye mashindano
hatuwashangai comment zenu nyie ndo uto akili ndogoooooooBasi iitwe Ligi ya points Africa, sio Ligi ya mabingwa
Tatizo lenu tunalijua.Mnaigiza mna furaha lakini ukweli mkikaa mkatulia mnawaza kikombe mnachoshiriki ni cha luzaz,lakini pia katika ligi tumekuosha viwili saafi.Hii nadharia ya kuwasema Wanaoshiriki Shirikisho ni waliofeli sio sahihi, hii ni kujificha kwenye kivuli Cha kufeli Kwa Magungu.