Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Ya uji,makande au ubwabwa?
Ya uji,makande au ubwabwa?
Afadhali tumefungwa ili kupunguza kelele za mamaa mamaaaa mamamamamaWakuu Uzi ndo umeisha hivo.
Kipindi cha kwanza Simba anashinda moja au mbili then kipindi cha pili anashinda 3 au mbili jumla goli 4.
Nimemaliza
Pole sana!Naamini watashinda namweka Mungu kwanza hatoniangusha naomba iwe hivyoo
huku mbumbumbu wakibakwa na mwarabNdiyo naona utopolo tuu ndo tuko front sana.
Kwa straika gani ulio nao..Wakuu Uzi ndo umeisha hivo.
Kipindi cha kwanza Simba anashinda moja au mbili then kipindi cha pili anashinda 3 au mbili jumla goli 4.
Nimemaliza
Wamefungwa aiseePole sana!
Mnampa Mungu kazi nzito sanaNaamini watashinda namweka Mungu kwanza hatoniangusha naomba iwe hivyoo
Huyu sio kukojoa, wakichelewa kumuamsha atakunya kitandaniNyie muamsheni huyu anakaribia kujikojolea kwenye kochi
Nendeni mkashtakiVideo imesambaaa kuwa wale waarabu walihonga refa
Unamuachia MunguNendeni mkashtaki
Bahati mbaya naye simba kautaka?Wakuu Uzi ndo umeisha hivo.
Kipindi cha kwanza Simba anashinda moja au mbili then kipindi cha pili anashinda 3 au mbili jumla goli 4.
Nimemaliza