Simba anaweza akamtoa Plateau united

Leo ni siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu.
 
Kila la kheri Plateau United nawasikitikia watu wasio na imani na nyinyi!
 
Nilisema mimi hapo awali, sasa bila shaka Simba anaenda kukutana na timu ya Platinum ya Zimbabwe kwenye hatua inayofuata. Hapa pia Simba anaweza akavuka hatua inayofuata na kufika mbali zaidi. Ni timu ambayo Inaweza kuwa surprise watu msimu huu
 
Wote tumeshuhudia jinsi mechi zote mbili zilivyokuwa tough kwa Simba. Hii timu imekosa tu match fitness kutokana na kukaa muda mrefu pasipo kucheza mechi yoyote ya kimashindano tofauti na Simba.
 
Imeisha hiyo!!!!!
 
Wote tumeshuhudia jinsi mechi zote mbili zilivyokuwa tough kwa Simba. Hii timu imekosa tu match fitness kutokana na kukaa muda mrefu pasipo kucheza mechi yoyote ya kimashindano tofauti na Simba
Kwa iyo tuwarudishie ushindi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…