Simba and yanga the biggest derby in East and central Africa

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Yah, this is it..kuna mashabiki Wa simba na yanga hadi Kenya Rwanda Burundi south Africa nk...
 
Ati East and Central Africa
Central Africa kuna TP Mazembe na AS vita
 
Lishieldi tunalo hatunalo?View attachment 592208

Halafu nakumbuka hiki kituko cha 'SHEILD'......ung'eng'e matatizo kwa wenzetu....

Japo mimi hapa Jangwani kwa kwenda mbele...
Kwa hili la Simba vs Yanga nakiri Watanzania wametushinda maana timu mbili hizo zikichuana, nchi yao yote hugawanyika kwenye makundi mawili, lakini kwetu hapa AFC na Gor derby yao inaishia kushabikiwa maeneo maeneo tu ya nchi sio kote kote.

 
Niko hapa Spanish town, Jamaica, jirani na mtu mzima Coco tea..ni Simba damu huyu jamaa.
 
Hehe true bro, chezea kutema yai kwa ufasaha we!.. Ras Simba azidi kupambana...Alf we najua wa yanga[emoji23]
 
Sio kweli mkuu. Nimetembea kote Kenya na nimekutana na ndugu wawili Isiolo wa kuzaliwa tumbo moja, na wanashabikia Gor na efusi. Yaani hawapatani kabsa kwa hilo la nani babe wa soka Kenya.
Lakini tujuavyo matokeo na mataji ndo kila kitu.

Ungesema kuna maeneo mengi sana Kenya hawajui na hawachezi soka ningekuelewa. Pia naunga mkono huo usimba na uyanga ya wabongo umezidi yetu. Na kwa taarifa ya wote mimi niko upande wa njano, sioni jinsi naweza shabikia mnyama pori.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…