EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Na ndio iliyowapata jana kule mtakandwa kama ngomaSometimes kwenye mpira Kuna bahati
So Simba kumshinda Yanga ilikuwa Bahati
Uchambuzi
Kwa mpira niliouna Jana Kwa marumo gallants kama wangecheza na Simba (Makolo) basi taifa lingepata aibu kubwa mno Kwa sababu zifuatazo
Spidi ya marumo gallants ni kubwa mno Kwa wachezaji wa Simba ukichanganya na umri mkubwa walionao makolo ....Kwan marumo ywanacheza counter plus mipira ya kuvizia ambayo ni hatari Kwa Makolo
Pili ni kuwa Simba hawana uzoefu wa kucheza michuano kwenye ngazi ya nusu fainaliy
NB.Kwa vigezo hivi Simba wangekandwa 7 _0
Bahati inaishia wapi?Mkuu.... kwenye hizi level za fainali hakuna bahati..... that's y wydadi waliwakanda
Nusu final is not for everyone
We're on wayMimi ni gempongeza Ya ga kama Angekuwa Club BINGWA CAFCL.
ANACHEZA NA WANAUME AKINA .
RAJA CASABLANCA.
WYDAD CASABLANCA.
ALHALY.
ZAMALECK.
MAMELOD.
KAIZER CHEEF.
OLANDO PAIRATES.
Hakika Hilo ni kombe la looser Na Mwaka una ma looser kibao.
Timu ya kushuka Daraja PSL IMETUSUMBUA sana Jana.
Mwenye akili afikiri
Loosers cup ni full kubahatisha 🤣🤣🤣kule mtakula 8Mechi za mapinduzi cup
🤝🏻🤝🏻🤝🏻🤝🏻Mimi ni gempongeza Ya ga kama Angekuwa Club BINGWA CAFCL.
ANACHEZA NA WANAUME AKINA .
RAJA CASABLANCA.
WYDAD CASABLANCA.
ALHALY.
ZAMALECK.
MAMELOD.
KAIZER CHEEF.
OLANDO PAIRATES.
Hakika Hilo ni kombe la looser Na Mwaka una ma looser kibao.
Timu ya kushuka Daraja PSL IMETUSUMBUA sana Jana.
Mwenye akili afikiri
Uhatarj wa kupuliza dawa vyumbani na.kuiba $5000 za Vipers 🤣🤣🤣🤣 na kuvuja vioo vya gari yaoYanga mechi za kimataifa.....ni hatari mkuu ....
Jiandaen kesho mna game kali sana na wakubwa wenzenuLoosers cup ni full kubahatisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]kule mtakula 8
Usijisahaulishe simba katoka kuwakanda bao mbili, shukurani ziende kwa kibu dUchambuzi
Kwa mpira niliouna Jana Kwa marumo gallants kama wangecheza na Simba (Makolo) basi taifa lingepata aibu kubwa mno Kwa sababu zifuatazo
Spidi ya marumo gallants ni kubwa mno Kwa wachezaji wa Simba ukichanganya na umri mkubwa walionao makolo ....Kwan marumo ywanacheza counter plus mipira ya kuvizia ambayo ni hatari Kwa Makolo
Pili ni kuwa Simba hawana uzoefu wa kucheza michuano kwenye ngazi ya nusu fainaliy
NB.Kwa vigezo hivi Simba wangekandwa 7 _0
Hata yanga kumfunga galants ni bahati tu, ushindi wa halali walioupata yanga ilikuwa dhidi ya zalan tuSometimes kwenye mpira Kuna bahati
So Simba kumshinda Yanga ilikuwa Bahati
Yaani simba queens kuchukua ubingwa unaita maajabu?Simba kwa sasa wanasubiria maajabu yatokee kwa timu yao ya Simba Queens ili ichukue ubingwa kwa upande wa wanawake.