Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ambavyo kwenu kumpiga mbili marumo ilikua bahatiSometimes kwenye mpira Kuna bahati
So Simba kumshinda Yanga ilikuwa Bahati
Kumbe ndiyo maana wanasema wanatoka kiume, wanategemea kule kwa wanawake!Simba kwa sasa wanasubiria maajabu yatokee kwa timu yao ya Simba Queens ili ichukue ubingwa kwa upande wa wanawake.
Hakukuwa na bahati pale zaidi ya ufundiKama ambavyo kwenu kumpiga mbili marumo ilikua bahati
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Mnajiita mabingwa wawakihia niambie ligi kuu imeanza liniKombe la yule mnaijeria billionaire
Daaah na nyie mka kandwa 2-1 na azamSimba hiyo hiyo ikaikanda 2-0 timu iliyoikanda Marumo 2-0.
Marumo na Ruvu wana tofauti gani?????wote wanaburuza mkia wanashuka daraja[emoji23][emoji23][emoji23]Ubora wa kikosi Cha marumo gallants vs makolo
Simba anafunga MECHI na timu kubwa kama wydad cassabranca, ahyl Cairo, mabingwa Sasa akina marumo sijui malumo ndo mtuumize kichwa hii NI bahati yenu itumieni
Mwakani Simba atakuwa serious saana atachukuwa club bingwa sijui mtajificha wapi akina Lugano
Kwahiyo uto mshafika fainali?Mtafuteni prof Nabi awape tuition....jinsi ya kufika fainali
Tuliosoma Guantanamo tushaelewa...yaani marumo shootng na ruvu garrants wote wanashuka daraja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi ni gempongeza Ya ga kama Angekuwa Club BINGWA CAFCL.
ANACHEZA NA WANAUME AKINA .
RAJA CASABLANCA.
WYDAD CASABLANCA.
ALHALY.
ZAMALECK.
MAMELOD.
KAIZER CHEEF.
OLANDO PAIRATES.
Hakika Hilo ni kombe la looser Na Mwaka una ma looser kibao.
Timu ya kushuka Daraja PSL IMETUSUMBUA sana Jana.
Mwenye akili afikiri
Simba kwa sasa wanasubiria maajabu yatokee kwa timu yao ya Simba Queens ili ichukue ubingwa kwa upande wa wanawake.
Mashabiki wa utopolo ndo maana manara alisema hawanaga akili 🤣🤣🤣Uchambuzi
Kwa mpira niliouna Jana Kwa marumo gallants kama wangecheza na Simba (Makolo) basi taifa lingepata aibu kubwa mno Kwa sababu zifuatazo
Spidi ya marumo gallants ni kubwa mno Kwa wachezaji wa Simba ukichanganya na umri mkubwa walionao makolo ....Kwan marumo ywanacheza counter plus mipira ya kuvizia ambayo ni hatari Kwa Makolo
Pili ni kuwa Simba hawana uzoefu wa kucheza michuano kwenye ngazi ya nusu fainaliy
NB.Kwa vigezo hivi Simba wangekandwa 7 _0
Ungekua mdada au wakike tungesema una mimba changa au upo kwenye ministration period (Mp)Uchambuzi
Kwa mpira niliouna Jana Kwa marumo gallants kama wangecheza na Simba (Makolo) basi taifa lingepata aibu kubwa mno Kwa sababu zifuatazo
Spidi ya marumo gallants ni kubwa mno Kwa wachezaji wa Simba ukichanganya na umri mkubwa walionao makolo ....Kwan marumo ywanacheza counter plus mipira ya kuvizia ambayo ni hatari Kwa Makolo
Pili ni kuwa Simba hawana uzoefu wa kucheza michuano kwenye ngazi ya nusu fainaliy
NB.Kwa vigezo hivi Simba wangekandwa 7 _0
Usisahau kuwa ni bingwa wa kufa kiumeSimba anafunga MECHI na timu kubwa kama wydad cassabranca, ahyl Cairo, mabingwa Sasa akina marumo sijui malumo ndo mtuumize kichwa hii NI bahati yenu itumieni
Mwakani Simba atakuwa serious saana atachukuwa club bingwa sijui mtajificha wapi akina Lugano