Simba angekandwa hata 7_ 0 na Marumo gallants

Simba anafunga MECHI na timu kubwa kama wydad cassabranca, ahyl Cairo, mabingwa Sasa akina marumo sijui malumo ndo mtuumize kichwa hii NI bahati yenu itumieni

Mwakani Simba atakuwa serious saana atachukuwa club bingwa sijui mtajificha wapi akina Lugano
 
 
Tuliosoma Guantanamo tushaelewa...yaani marumo shootng na ruvu garrants wote wanashuka daraja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mashabiki wa utopolo ndo maana manara alisema hawanaga akili 🤣🤣🤣
 
Ungekua mdada au wakike tungesema una mimba changa au upo kwenye ministration period (Mp)

Simba 🦁 timu kubwa afrika imeitangaza...inaitangaza Tanzania Vyema....🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Usisahau kuwa ni bingwa wa kufa kiume
 
Mashabiki wa utopolo ndo maana manara alisema hawanaga akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lkn wapo nusu fainali..... ambayo makolo,... itachukua miaka 209....bila kugusa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…