Simba angekandwa hata 7_ 0 na Marumo gallants

Ungekua mdada au wakike tungesema una mimba changa au upo kwenye ministration period (Mp)

Simba [emoji881] timu kubwa afrika imeitangaza...inaitangaza Tanzania Vyema....[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Kabisa mkuu......Simba ni bingwa wa robo fainali
 
Mpaka Sasa sijaona ubora wa yanga zaidi anatembelea Bahat tu.
Ukitaka kujua yanga ni wabovu rejea game ya juzi kati ya Simba na Yanga ,pale ndipo nilipima uwezo wa yanga kuwa ni wabovu mno Bahat tu inawabeba .
Ile siku nilienda kuchek Ile game nikijua waz Simba atafungwa na Yanga .
Nabi anayesifiwa Kwa mbinu alifanya sab zote lakin alitoka patupu na kupigiwa mpira wa akili nyingi.
Huko kwenye shirikisho kakutana na vibonde wenzake na km alhal walimtoa kamasi vipi angeweza Kwa wydad, alhly, Esperance,mamelod,raja?
Narudia tena yanga ni timu mbovu sana na hata msimu ujao club bingwa ataondolewa mapema na kuangukia shirikisho
 
Ile MECHi ya Simba aliamua Kufungwa ilikuwapoteza wapinzani.... rivers united

So Yanga alipoteza game purposely
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…