Ifuatayo ni timu zisizo wakimbizi zilizofungwa na Yanga nyumbani kwaoWewe Labani Kuwafunga wakimbizi wa UNHCR walioomba hifadhi Rwanda unajiona matawi?.
Baelezeage hao hawataki ukweli.Ifuatayo ni timu zisizo wakimbizi zilizofungwa na Yanga nyumbani kwao
1) Club Africain
2) Rivers united
3) Marumo
4) Tp Mazembe
5) USM Alger
Yanga wangecheza na power dynamor wange kula 5,simba angecheza na al-marekh,al-marekrkh angepigwa 4Uchambuzi wangu Leo
Kwa michezo tuliyopata kuishudia siku ya Jana Kwa kweli soka la bongo limekua Kwa kiasi kikubwa timu zinacheza Kwa kujiamini Hadi ugenini
Kwa upande wa ndugu zetu wanamsimbazi kama ndo wangekutana na Al mereikh Kwa mchezo waliocheza Jana......basi wangekutana na na kichapo Cha kutisha
Coz Al mereikh walikuwa wanacheza Kwa spidi japo viungo wa Yanga walidhibiti pale katikati kitu ambacho ingekuwa Simba basi tungeshudia Simba wakikandwa magoli ya kutosha
NB: unadhani Simba wangekula ngapi wangekipiga na Al mereikh???View attachment 2752121
Dogo, jitahidi kupunguza msongo wa mawazo. Unakoelekea siko.WATOTO WA kimasikini wao wanalala na Kuamka kuwaza Simba na Yanga.
Hili ni Jukwaa la Michezo si Jukwaa la USHABIKI.
Mnaoharibu Jamii forum, kwa NYUZI zenu za KIPUMBAVU.