Simba angekandwa vibaya na Al mereikh

Simba angekandwa vibaya na Al mereikh

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Uchambuzi wangu Leo

Kwa michezo tuliyopata kuishudia siku ya Jana Kwa kweli soka la bongo limekua Kwa kiasi kikubwa timu zinacheza Kwa kujiamini Hadi ugenini

Kwa upande wa ndugu zetu wanamsimbazi kama ndo wangekutana na Al mereikh Kwa mchezo waliocheza Jana......basi wangekutana na na kichapo Cha kutisha

Coz Al mereikh walikuwa wanacheza Kwa spidi japo viungo wa Yanga walidhibiti pale katikati kitu ambacho ingekuwa Simba basi tungeshudia Simba wakikandwa magoli ya kutosha

NB: unadhani Simba wangekula ngapi wangekipiga na Al mereikh???
1694940836369.jpg
 
Utadhani ilikuwa mechi ya fanali michuano ya club bingwa Afrika kumbe ni kuingia makundi. Ni krooo, kroooo mitandaoni, redioni, Yanga kubwa krooooo.

Yanga imewekeza sana kwenye propaganda. Kwa hili wapongezwe.
 
WATOTO WA kimasikini wao wanalala na Kuamka kuwaza Simba na Yanga.

Hili ni Jukwaa la Michezo si Jukwaa la USHABIKI.

Mnaoharibu Jamii forum, kwa NYUZI zenu za KIPUMBAVU.
 
Uchambuzi wangu Leo

Kwa michezo tuliyopata kuishudia siku ya Jana Kwa kweli soka la bongo limekua Kwa kiasi kikubwa timu zinacheza Kwa kujiamini Hadi ugenini

Kwa upande wa ndugu zetu wanamsimbazi kama ndo wangekutana na Al mereikh Kwa mchezo waliocheza Jana......basi wangekutana na na kichapo Cha kutisha

Coz Al mereikh walikuwa wanacheza Kwa spidi japo viungo wa Yanga walidhibiti pale katikati kitu ambacho ingekuwa Simba basi tungeshudia Simba wakikandwa magoli ya kutosha

NB: unadhani Simba wangekula ngapi wangekipiga na Al mereikh???View attachment 2752121
Yanga wangecheza na power dynamor wange kula 5,simba angecheza na al-marekh,al-marekrkh angepigwa 4
 
Kwa hii timu ambayo haichezi ligi Yoyote ile na ipo ukimbizini!

Sidhani
 
WATOTO WA kimasikini wao wanalala na Kuamka kuwaza Simba na Yanga.

Hili ni Jukwaa la Michezo si Jukwaa la USHABIKI.

Mnaoharibu Jamii forum, kwa NYUZI zenu za KIPUMBAVU.
Dogo, jitahidi kupunguza msongo wa mawazo. Unakoelekea siko.
 
Back
Top Bottom