vyura fc walikuwa na Manji - sasa hivi chali!Penye moshi kuna moto, muda sio mwingi Mh. MO atakaa pembeni maana inaonekana anatoa pesa yake kishingo upande. Kuna siku alisemega kuwa 20 bil zake zinaweza kununua bank, na sasa anasema 4bil zake zinatumika kulipa mishahara ya Simba bila sababu.
Mh. MO anataka Simba ishinde mechi zoooooote (100%) inapocheza na timu zote kwenye mashindano yote. Na hilo ndio lililomfanya Aussems afukuzwe pia.
Simba tujiandae kutafuta namna bora ya uwekezaji.
mikia FC.Penye moshi kuna moto, muda sio mwingi Mh. MO atakaa pembeni maana inaonekana anatoa pesa yake kishingo upande. Kuna siku alisemega kuwa 20 bil zake zinaweza kununua bank, na sasa anasema 4bil zake zinatumika kulipa mishahara ya Simba bila sababu.
Mh. MO anataka Simba ishinde mechi zoooooote (100%) inapocheza na timu zote kwenye mashindano yote. Na hilo ndio lililomfanya Aussems afukuzwe pia.
Simba tujiandae kutafuta namna bora ya uwekezaji.
Sisemi namuunga mkono Mzee Kilomoni, lakini nataka-sitaki hii ya Mo inaonesha kasoro kubwa ya mfumo uliopo wa uendeshaji Klabu ya Simba. Hivi baina ya Simba na Manchester United, ipi imedumu zaidi na matokeo mabovu? Ipi imetumia fedha nyingi zaidi ndani ya misimu mitatu iliyopita?Mimi sijatoa hata sumuni 5 kwa Simba lakini naumia sana Simba inapofungwa, kiasi Kwamba ningekuwa karibu na wachezaji wa Simba ningeshaua walau mmoja, hali hiyo inakuwaje kwa MO?
Kama hamtaki kufungwa jitengenezeeni kombe lenu msishiriki kwenye mashindano. Mawazo kama hayo ni chanzo cha kununua mechi.Mimi sijatoa hata sumuni 5 kwa Simba lakini naumia sana Simba inapofungwa, kiasi Kwamba ningekuwa karibu na wachezaji wa Simba ningeshaua walau mmoja, hali hiyo inakuwaje kwa MO?