Simba aruhusiwe kucheza mechi vs Wydad ianze saa tisa kwa Mkapa kwenye jua. Kama Mamelodi anavyoanza mechi zake na Waarabu saa tisa kwenye jua

Mkuu usirushe jiwe sokoni unaweza piga ndugu yako mwenyewe,hivi mechi saa 9 na vile vikongwe vyenu navyo vitaweza vumilia!!!
 
Mkuu usirushe jiwe sokoni unaweza piga ndugu yako mwenyewe,hivi mechi saa 9 na vile vikongwe vyenu navyo vitaweza vumilia!!!
 
Hivi huwa mnajisahaulisha hao waarabu wanatokea JANGWANI kwenye jua kali Dar cha Mtoto? Huwa nachekaga sana naposikia eti tuwachezeshe mchana jua kali...utafikiri waarabu wanatoka Scandinavian countries....
 
Mamelodi ni Giant wa Afrika anashiriki katika maamzi wa mpira wa Afrika.. Ila Simba jiyantiii wa Tz ambaye hata hana maamzi yoyote CAF.
 
This is a shallow thinking, how does playing under the scorching sun help Mamelody Sundowns..??
 
Kwahyo mechi ya juzi na pyramid ilichezwa saa 9? Ni saa 10 bana
 
Hivi huwa mnajisahaulisha hao waarabu wanatokea JANGWANI kwenye jua kali Dar cha Mtoto? Huwa nachekaga sana naposikia eti tuwachezeshe mchana jua kali...utafikiri waarabu wanatoka Scandinavian countries....
Kwahyo mechi ya juzi na pyramid ilichezwa saa 9? Ni saa 10 bana

Acha ubishi wa kitoto

Mechi ilianza Saa 10 kwa saa za Tanzania.. ambayo ni sawa na saa 9 kwa saa za afrika ya kusini.

Unahisi mimi ni mjinga nadanganya ?
 
Mamelodi nao wanachekesha, yaani unamchezesha mwarabu wa jangwani kwenye jua la Sauzi?
 
Mamelodi nao wanachekesha, yaani unamchezesha mwarabu wa jangwani kwenye jua la Sauzi?

Na anamfunga sana sababu waarabu hawajazoea kucheza kwenye jua

Mwarabu kwao huwa hachezi mechi juani...
 
mbona Memelodi anaruhusiwa kila siku anapocheza na waarabu anaanza mechi saa tisa kule south.

ila mamelodi huyo huyo akicheza na weusi wenzake anaanza mechi jua limeshazama
South afrika hamna joto kali kama la dam kule hadi mchana kuna kaupepo ka baridi kanapita
Mda mwingine tukubali ujinga ni mzigo
 
South afrika hamna joto kali kama la dam kule hadi mchana kuna kaupepo ka baridi kanapita
Mda mwingine tukubali ujinga ni mzigo

Kama hakuna joto kali kwa nini hachezi na timu za weusi muda huo wenye jua.. mbona Tp Mazembe hamchezeshi saa tisa ?

Mbona Petro hamchezeshi saa tisa

Kwa nini hiyo saa tisa achague timu vigogo za waarabu tu ?
 
Ulishawi endaga south afrika au unabisha kwa kutumia nguvu ya ubishi
 
Na anamfunga sana sababu waarabu hawajazoea kucheza kwenye jua

Mwarabu kwao huwa hachezi mechi juani...
Mkuu, mtu anayeishi jangwani unategemea jua la kawaida litamuathiri? Tena afadhali ingekuwa hapa kwetu, jua lenyewe la Pretoria?
 
Hizo ni mbinu za kijinga tu kama za waarabu kumulika vitochi.

Kama hamjui kucheza mnafungwa tu hata mkicheza saa nane usiku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…