- Thread starter
- #21
Yaani kwa kuwa Bongo saa tisa jua kali unahisi kila sehemu ipoo hivyo?
Mechi za Mamelodi huwa hutazami kwenye Tv ?
Ama TV hazioneshi jua kama kali uwanjani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kwa kuwa Bongo saa tisa jua kali unahisi kila sehemu ipoo hivyo?
Mkuu usirushe jiwe sokoni unaweza piga ndugu yako mwenyewe,hivi mechi saa 9 na vile vikongwe vyenu navyo vitaweza vumilia!!!Habari wadau. wiki ijayo simba anarudiana na Wydad kwa mkapa.
Ni vizuri mechi hiyo ianze saa tisa jua bado kaii ili iishe saa 11 kasoro jua bado halijazama pia
Hii mbinu anaitumia Mamelodi Sundown anapocheza na waarabu , waarabu hawajazoea kucheza kwenye jua
Kama CAF wanairuhusu Mamelodi kucheza home game zake saa 9 jua kali. na Simba na yeye aruhusiwe

Kwa Mkapa mmecheza mechi ngapi msimu huu watu wanatoka kama walivyokuja?Wydad kwa walivyocheza juzi kwa Mkapa hawatoki
Kwahyo mechi ya juzi na pyramid ilichezwa saa 9? Ni saa 10 banaMamelodi nyumbani kwake ni Pretoria.. ndipo anachezea mechi zake
Pretoria ni mji salama kuliko Johannersburg.
Mechi za Jo burg zinachezwa usiku. Why not pretoria ?
Na kama pretoria sio salama mbona Mamelodi huyo huyo Petro luanda amecheza nae usiku ?
Kwenye kundi lake mamelodi ana mechi na Tp mazembe. Utaona muda atakaocheza na mazembe , utakuwa jua limezama.. huku Waarabu anacheza nao saa tisa mchana
Hivi huwa mnajisahaulisha hao waarabu wanatokea JANGWANI kwenye jua kali Dar cha Mtoto? Huwa nachekaga sana naposikia eti tuwachezeshe mchana jua kali...utafikiri waarabu wanatoka Scandinavian countries....
Kwahyo mechi ya juzi na pyramid ilichezwa saa 9? Ni saa 10 bana
Mamelodi nao wanachekesha, yaani unamchezesha mwarabu wa jangwani kwenye jua la Sauzi?Habari wadau. wiki ijayo simba anarudiana na Wydad kwa mkapa.
Ni vizuri mechi hiyo ianze saa tisa jua bado kaii ili iishe saa 11 kasoro jua bado halijazama pia
Hii mbinu anaitumia Mamelodi Sundown anapocheza na waarabu , waarabu hawajazoea kucheza kwenye jua
Kama CAF wanairuhusu Mamelodi kucheza home game zake saa 9 jua kali. na Simba na yeye aruhusiwe
Mamelodi nao wanachekesha, yaani unamchezesha mwarabu wa jangwani kwenye jua la Sauzi?
South afrika hamna joto kali kama la dam kule hadi mchana kuna kaupepo ka baridi kanapitambona Memelodi anaruhusiwa kila siku anapocheza na waarabu anaanza mechi saa tisa kule south.
ila mamelodi huyo huyo akicheza na weusi wenzake anaanza mechi jua limeshazama
South afrika hamna joto kali kama la dam kule hadi mchana kuna kaupepo ka baridi kanapita
Mda mwingine tukubali ujinga ni mzigo
Ulishawi endaga south afrika au unabisha kwa kutumia nguvu ya ubishiKama hakuna joto kali kwa nini hachezi na timu za weusi muda huo wenye jua.. mbona Tp Mazembe hamchezeshi saa tisa ?
Mbona Petro hamchezeshi saa tisa
Kwa nini hiyo saa tisa achague timu vigogo za waarabu tu ?
Mkuu, mtu anayeishi jangwani unategemea jua la kawaida litamuathiri? Tena afadhali ingekuwa hapa kwetu, jua lenyewe la Pretoria?Na anamfunga sana sababu waarabu hawajazoea kucheza kwenye jua
Mwarabu kwao huwa hachezi mechi juani...
Hizo ni mbinu za kijinga tu kama za waarabu kumulika vitochi.Habari wadau. wiki ijayo simba anarudiana na Wydad kwa mkapa.
Ni vizuri mechi hiyo ianze saa tisa jua bado kaii ili iishe saa 11 kasoro jua bado halijazama pia
Hii mbinu anaitumia Mamelodi Sundown anapocheza na waarabu , waarabu hawajazoea kucheza kwenye jua
Kama CAF wanairuhusu Mamelodi kucheza home game zake saa 9 jua kali. na Simba na yeye aruhusiwe
Hujajibu alicho kuuliza,Ulishawi endaga south afrika au unabisha kwa kutumia nguvu ya ubishi