Simba asiyesikia la mkuu huvunjika guu, mjiandae tu kisaikolojia ligi kuu na mashindano ya kimataifa sio lelemama!

Nyie si mlimfunga moja na mlijipangia kuifunga 8 Simba?

Hayo ni matokeo ya kawaida sana kwenye mpira,simba haijawa ya kwanza kuyapata.

Kwani nyie hamjawahi kufungwa na Simba ikiwa pungufu,kwani mlikuwa ni wabaya?
 
Sisi tutaendelea kuwachana makavu aijalishi mmechukia ama lah, nyeusi tutasema ni nyeusi, na nyeupe tutasema ni nyeupe, mashabiki wengi wa Simba kama wewe uwa amtaki kusikia timu yenu ikikosolewa na anayewakosoa mnaona sio mwenzenu, mnataka kusifiwa tu basi lakini ili mgonjwa apone lazima umeze dawa ata kama ni chungu, narudia Tena Simba akuna timu pale ya kushindana kimataifa na ata kwenye ligi tu bado, si ligi ndo imeanza na mechi za kimataifa tutawaona mtafikia wapi!
 
Ungejua sababu ya Simba kucheza hiyo mechi Wala usingejisumbua kuandika Hilo gazeti. Kwa kifupi kocha alitaka kupima uwezo wa wachezaji wake na mbinu atakazotumia.
 
Note ,
Hadi sasa kacheza mechi kadhaa na hajapoteza we endelea kujiliwaza eti spidi inafanana kwani kama Yanga spidi inatofautiana si wangemchapa Kagera 7?
Uto mna matatizo
 
Vibudu hivyo Baba. Sio kosa Lao Bali makafara yanawapelekesha🤣
Hayana akili hayo, yaani anajifanya kuweka tathimini ya mechi ya kirafiki kama vile yeye ndiyo alipanga ichezwe, makocha wanaangalia mambo Yao.
 
Hayana akili hayo, yaani anajifanya kuweka tathimini ya mechi ya kirafiki kama vile yeye ndiyo alipanga ichezwe, makocha wanaangalia mambo Yao.
Yameona wivu. Kila kitu Simba iko mbele. Sijui wataiga?au watakausha?
 
Maisha ndivyo yalivyo huwezi ukawa Bora siku zote na ukafanya yaliyo Bora siku zote,,,kupanda na kushuka ndio maisha yetu kila siku na ndio asili ya Maisha Kiujumla Kwa kila levo ya kimaisha tuliojaliwa na kubarikiwa pia,,,Jifunze na Jitahidi kutulia Kwa kila pito la kimaisha Iwe ni mbaya au nzuri Kwa Maono,,,Fikra na mitazamo yako binafsi.
 
Akielewa nitag. Nimejaribu kumuelimisha kumbe mtu mwenyewe hazitoshi.
 
Huu muda uliotimia kuandika ungetumia kupiga punyeto ungesaidia kupunguza huo msongo wa mawazo uliyonayo.
 
Kwahiyo Simba nayo haikukosa wachezaji wao muhimu?!
 
Huko nyumamwiko wenye akili ni wawili tu.
 
Reactions: Tui
Nenda ukanyewe funda moja la chimpumu kisha ulale kesho uzimue na mahindi ya kuchemsha utakaa sawa..
 
Reactions: Tui
Ajabu hii! Yaani Yanga anampa Somo Simba kimataifa.

Haya wacha tuone.
 
Unateseka ukiwa Wapi?.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…