Simba asiyesikia la mkuu huvunjika guu, mjiandae tu kisaikolojia ligi kuu na mashindano ya kimataifa sio lelemama!

Nyie si mlimfunga moja na mlijipangia kuifunga 8 Simba?

Hayo ni matokeo ya kawaida sana kwenye mpira,simba haijawa ya kwanza kuyapata.

Kwani nyie hamjawahi kufungwa na Simba ikiwa pungufu,kwani mlikuwa ni wabaya?
 
Kwa hiyo Real Madrid ni wabovu kwa kutoa sare na Las Palmas tena kwenye ligi?Tena Real amechomoa kwa penalti.
Una safari ndefu sana kwenye uchambuzi wa mpira kwa sababu mpira huujui.
Umeanza ushabiki kwa kukariri kwamba timu lazima ishinde tu.Kocha Fadlu amehojiwa na amesema kwamba lengo la kubadili timu kipindi cha pili ni wachezaji wote wapate exposure na ayafanyie kazi makosa yatakayojitokeza.
Mpira ni mchezo wa makosa ndio maana timu zinafungana.Ushabiki maandazi peleka huko kwenye mashabiki maandazi wenzako.
Hakuna cha maana ulichoandika bali kutimiza tu ushabiki wa timu unayeishabikia.Ndio maana ulipopingwa ukarukia uongozi wa Magungu.
Sisi tutaendelea kuwachana makavu aijalishi mmechukia ama lah, nyeusi tutasema ni nyeusi, na nyeupe tutasema ni nyeupe, mashabiki wengi wa Simba kama wewe uwa amtaki kusikia timu yenu ikikosolewa na anayewakosoa mnaona sio mwenzenu, mnataka kusifiwa tu basi lakini ili mgonjwa apone lazima umeze dawa ata kama ni chungu, narudia Tena Simba akuna timu pale ya kushindana kimataifa na ata kwenye ligi tu bado, si ligi ndo imeanza na mechi za kimataifa tutawaona mtafikia wapi!
 
Ungejua sababu ya Simba kucheza hiyo mechi Wala usingejisumbua kuandika Hilo gazeti. Kwa kifupi kocha alitaka kupima uwezo wa wachezaji wake na mbinu atakazotumia.
 
Ungesoma alicho andika, Leo Al Hilal walimkosa mshambuliaji na captain wao mchezaji hatari zaidi katika ukanda uu wa Afrika Mashariki na kati anaitwa Mohamed.

Kikubwa Simba katika maeneo yote matatu ya uwanja spidi Yao inalingana na haileti picha nzuri inapo elekea.
Spidi ya kutokea golini , katikati mpaka mwisho hazipishani ni jambo la kushangaza katika mpira wa kisasa.
Note ,
Hadi sasa kacheza mechi kadhaa na hajapoteza we endelea kujiliwaza eti spidi inafanana kwani kama Yanga spidi inatofautiana si wangemchapa Kagera 7?
Uto mna matatizo
 
Vibudu hivyo Baba. Sio kosa Lao Bali makafara yanawapelekesha🤣
Hayana akili hayo, yaani anajifanya kuweka tathimini ya mechi ya kirafiki kama vile yeye ndiyo alipanga ichezwe, makocha wanaangalia mambo Yao.
 
Yameona wivu. Kila kitu Simba iko mbele. Sijui wataiga?au watakausha?
 
Maisha ndivyo yalivyo huwezi ukawa Bora siku zote na ukafanya yaliyo Bora siku zote,,,kupanda na kushuka ndio maisha yetu kila siku na ndio asili ya Maisha Kiujumla Kwa kila levo ya kimaisha tuliojaliwa na kubarikiwa pia,,,Jifunze na Jitahidi kutulia Kwa kila pito la kimaisha Iwe ni mbaya au nzuri Kwa Maono,,,Fikra na mitazamo yako binafsi.
 
Akielewa nitag. Nimejaribu kumuelimisha kumbe mtu mwenyewe hazitoshi.
 
Tumeona Leo vijana wenu Wenye umri mdogo wakicheza mechi ya kirafiki na al hilal ya Sudan, tumeona timu yenu kimbinu na kiufundi ilivyo!

Al hilal awa wamepungua ubora wao kwa kiasi kikubwa sana ukilinganisha na al hilal Ile iliyocheza na yanga msimu juzi ikiwa ya moto ikiwa na vijana wakina Ibrahim imoro, nafikiri vita vya kule kwao sudani viliwaathiri sana mpaka wakakimbiwa na wachezaji wao muhimu!

Licha ya vita walikosa kucheza ligi kwa msimu mzima ni jambo liliwapunguza nguvu sana mpaka sasa wameomba kucheza ligi ya Mauritania ambayo aijaanza bado!

Pamoja na udhaifu wao Leo bado wamewapa Simba mechi inayomtaka kocha fadlu afanye kazi ya ziada kuiweka Sawa timu yake bado Ina mtihani wa kufanya!

Mechi za kimataifa uwa zinachezwa kimbinu sana na kiufundi lakini kwa kocha uyu wa Simba sijaona kama Yuko vizuri kimbinu kwa maana mechi hizi inatakiwa pia ujaribu mbinu zako uone namna utavyokabiliana na wapinzani wako kwenye mechi za kimataifa!

Uwezi kujaribu mbinu kwenye mazoezi na ukajipa asilimia 100 kwamba umefanikiwa bila kuzijaribu kwenye mechi kama hizi itakuwa unajidanganya na utakuwa kama kocha wa Azam aliyekurupuka kuanza na back 3 kwenye mechi ya yanga na akatandikwa chuma 4!

Simba kaongoza goli Moja kipindi cha kwanza alitakiwa awe na mbinu Bora za kulinda ushindi na kuongeza goli ama asiruhusu goli,

Jamaa wamerudi wakapata kadi nyekundu wakawa pungufu lakini bado wakawa wanaonekana kama vile wametimia kwa namna walivyokuwa wanacheza, akukuwepo tofauti kati ya timu pungufu na timu iliyokamilika, na bado wakasawazisha goli!

Iyo sio kwamba ni bahati mbaya bali ni ujumbe umetumwa kwamba timu yenu bado Ina mapungufu kibao na inakwenda kukutana na timu zenye uwezo zaidi ya hao al hilal au wanaolingana uwezo je watatoboa?

Timu nzima ilikuwa inapanda kipindi cha pili kwenda kutafuta goli baada ya kuona wako pungufu na bado wakawa wanajisahau wanapiga vipasi vya hapa na pale ambavyo avikuwa na madhara kwa mpinzani, counter attack Moja tu wakapigwa ikazaa goli!

Ndo hapo tunarudi kwenye suala la uzoefu pia kwa wachezaji uwa linasaidia sana awa vijana wa Simba wao wanavyocheza na timu za ligi kuu ivyo ivyo wanataka wacheze na mechi ya kimataifa sio Sawa ata kidogo!

Kina awesu wanakaa na Mpira kucheza na majukwaa mpaka wanaporwa mipira, but wenzao wa al hilal ulikuwa unaona Kuna uzoefu wanao kuliko Simba, walikuwa wanacheza objective football!

Nawaambia msiwe mnamaliza maneno kwa mechi za tabora united na fountain gate, tengenezeni timu bado sana vinginevyo mtawafata coast union na Azam mapema sana!
Huu muda uliotimia kuandika ungetumia kupiga punyeto ungesaidia kupunguza huo msongo wa mawazo uliyonayo.
 
Ungesoma alicho andika, Leo Al Hilal walimkosa mshambuliaji na captain wao mchezaji hatari zaidi katika ukanda uu wa Afrika Mashariki na kati anaitwa Mohamed.

Kikubwa Simba katika maeneo yote matatu ya uwanja spidi Yao inalingana na haileti picha nzuri inapo elekea.
Spidi ya kutokea golini , katikati mpaka mwisho hazipishani ni jambo la kushangaza katika mpira wa kisasa.
Kwahiyo Simba nayo haikukosa wachezaji wao muhimu?!
 
Tumeona Leo vijana wenu Wenye umri mdogo wakicheza mechi ya kirafiki na al hilal ya Sudan, tumeona timu yenu kimbinu na kiufundi ilivyo!

Al hilal awa wamepungua ubora wao kwa kiasi kikubwa sana ukilinganisha na al hilal Ile iliyocheza na yanga msimu juzi ikiwa ya moto ikiwa na vijana wakina Ibrahim imoro, nafikiri vita vya kule kwao sudani viliwaathiri sana mpaka wakakimbiwa na wachezaji wao muhimu!

Licha ya vita walikosa kucheza ligi kwa msimu mzima ni jambo liliwapunguza nguvu sana mpaka sasa wameomba kucheza ligi ya Mauritania ambayo aijaanza bado!

Pamoja na udhaifu wao Leo bado wamewapa Simba mechi inayomtaka kocha fadlu afanye kazi ya ziada kuiweka Sawa timu yake bado Ina mtihani wa kufanya!

Mechi za kimataifa uwa zinachezwa kimbinu sana na kiufundi lakini kwa kocha uyu wa Simba sijaona kama Yuko vizuri kimbinu kwa maana mechi hizi inatakiwa pia ujaribu mbinu zako uone namna utavyokabiliana na wapinzani wako kwenye mechi za kimataifa!

Uwezi kujaribu mbinu kwenye mazoezi na ukajipa asilimia 100 kwamba umefanikiwa bila kuzijaribu kwenye mechi kama hizi itakuwa unajidanganya na utakuwa kama kocha wa Azam aliyekurupuka kuanza na back 3 kwenye mechi ya yanga na akatandikwa chuma 4!

Simba kaongoza goli Moja kipindi cha kwanza alitakiwa awe na mbinu Bora za kulinda ushindi na kuongeza goli ama asiruhusu goli,

Jamaa wamerudi wakapata kadi nyekundu wakawa pungufu lakini bado wakawa wanaonekana kama vile wametimia kwa namna walivyokuwa wanacheza, akukuwepo tofauti kati ya timu pungufu na timu iliyokamilika, na bado wakasawazisha goli!

Iyo sio kwamba ni bahati mbaya bali ni ujumbe umetumwa kwamba timu yenu bado Ina mapungufu kibao na inakwenda kukutana na timu zenye uwezo zaidi ya hao al hilal au wanaolingana uwezo je watatoboa?

Timu nzima ilikuwa inapanda kipindi cha pili kwenda kutafuta goli baada ya kuona wako pungufu na bado wakawa wanajisahau wanapiga vipasi vya hapa na pale ambavyo avikuwa na madhara kwa mpinzani, counter attack Moja tu wakapigwa ikazaa goli!

Ndo hapo tunarudi kwenye suala la uzoefu pia kwa wachezaji uwa linasaidia sana awa vijana wa Simba wao wanavyocheza na timu za ligi kuu ivyo ivyo wanataka wacheze na mechi ya kimataifa sio Sawa ata kidogo!

Kina awesu wanakaa na Mpira kucheza na majukwaa mpaka wanaporwa mipira, but wenzao wa al hilal ulikuwa unaona Kuna uzoefu wanao kuliko Simba, walikuwa wanacheza objective football!

Nawaambia msiwe mnamaliza maneno kwa mechi za tabora united na fountain gate, tengenezeni timu bado sana vinginevyo mtawafata coast union na Azam mapema sana!
Huko nyumamwiko wenye akili ni wawili tu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nenda ukanyewe funda moja la chimpumu kisha ulale kesho uzimue na mahindi ya kuchemsha utakaa sawa..
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Ajabu hii! Yaani Yanga anampa Somo Simba kimataifa.

Haya wacha tuone.
 
Unateseka ukiwa Wapi?.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom