Simba atachukua kombe Gani, mapinduzi cup ikichezwa na timu za taifa

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Mtani amepata pigo lingine, baada ya kichaka alichokuwa anajificha la kuchukua kombe la mapinduzi kucheza na timu za taifa

Tujikumbushe mafanikio ya mtani aliyosomewa kwenye mkutano mkuu ni kama ifuatavyo

1. Bingwa kombe la Mapinduzi 😀
2 Whatsapp channel 😀
3 Kibegi

Mtani Sasa rasmi hatapata kombe lolote, maana alikuwa anaipeleka kikosi Zanzibar kushindana na akina Mlandege😀

Huko UMISETA yaani shirikisho hana chake

Huku NBC premier league Kuna Pdidy
( Yanga) hapa mtani anajua nafasi yake ni ya 4 utampa ticket ya kwenda huko matopeni shirikisho

Ubaya ubwege

Yanga bingwa
 
CAF Champions League kupitia group la MC Alger
 
Naona mna hamu tuchukue kombe..subirini mtashangazwa nilijua mnataka mtulipe miaka 4 tuliyowachabanga...hahaha
Mchukue kombe wachezaji wenyewe ni Aouhor, Chasambi na Kibu
 
Back
Top Bottom