Simba atafungwa goli ngapi na Raja kesho kutwa?

Simba atafungwa goli ngapi na Raja kesho kutwa?

Uto anaweza pigwa 50 😀 😀 no wonder ameishia kundi la mbuzi lisilo na mchezaji bora wa wiki, timu bora wala goli bora.
 
Nimesikia mechi ni jumamosi na sio kesho Ijumaa. Achana na mambo ya kutabiri haitakusaidia chochote subiri mechi ichezwe.
 
Hii mechi ni kama ya kirafiki ingawa kila timu itajaribu kutafuta ushindi. Simba wamepokelewa na basi la timu ya Raja walipofika airport kwenda hotelini, hilo linapaswa likwambie kitu.
 
Nyie loser fc ya kwenu hamuifikirii kwakuwa mnacheza na timu dhaifu kwenye kombe lenu la timu dhaifu za Afrika siyo?
 
Back
Top Bottom