Simba atafungwa goli ngapi na Raja kesho kutwa?

Simba atafungwa goli ngapi na Raja kesho kutwa?

Mimi niliota hivi last week. Yanga na simba zimecheza ugenini zikafungana 1 - 1.
Halafu kuna timu ikafunga 4 sasa hii ndoto sijaielewa, nani atafungwa 4 ama hilo 1.
Nasubiria nione hii ndoto kama ya kweli. 🧕
 
Back
Top Bottom