Simba atafungwa na Yanga Jumapili

Kuridhika maana yake nini?
 
Kuridhika maana yake nini?
Inawezekana nimekosea kuandika...
Ila nilimaanisha " Satisfied"

Mfano...
Nimepata goli moja au mbili..then najiona nimemaliza game, then naanza kucheza kwa uvivu sina mpango wa kufutafuta goli lingine.
 
Youg Africans anashinda ila ni kwa tofauti ya goli moja
 
Hapo sawa.
 
Nakubaliana na wewe nikiwa mwana Yanga kindakindaki wa tawi kubwa sana hapa Nchini. Kila siku nasema Simba sio mbovu kama tunavyodhani, Ila ubora wa Yanga unaifanya Simba ionekane mbovu. Yanga anaweza kushinda sababu tu Simba ukimzuia Chama timu haichezi na kwa miaka mingi Yanga wamefanikiwa kwa hilo.
 
Hahahaha! Wacha wee
 
huu uzi haukuwa hata na haja ya kuweka
sasa hao watoto wa juma bonge wanapitia wapi?
nasikitika robertinho anaenda kutimuliwa
 
afadhali wewe wengine wanaongea ushirikina tu humu
 
Sure
 
Nakuunga mkono
 
Yanga wapo vizuri kuanzia kwenye makaratasi mpaka uwanjani tofauti na Simba.

Mbaya zaidi simba anakutana na yanga ambaye tayari yupo kwenye kiwango bora kwa sasa bila ubishi na wote wakiwa na kibarua kizito mbele yao
 
FT
Simba SC 4 : 1 Young African

Mashabiki wa simba sc

"Tuliwaambia lazima tushinde huu mchezo, mkatudhihaki, haya sasa ongeeni tena."

Mashabiki wa Young African

"Mmetufunga Kwa sababu hii game sio kipahmbele chetu na tayari tuna uhakika wa ubingwa. Kwanza mmbahatisha."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…