Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukipata vichwa kama hivi 10 humu jf Mambo yatakuwa mazuriMbona hapo takwimu nimeweka kaka? Nimesema hapo SIMBA ana wastani nzuri wa kufunga akiwa na wastani wa magoli 2 au Zaidi kwa mechi wakati Yanga ana wastani wa Magoli 2 kamili kwa mechi, hujui kusoma kaka?.
Takwimu zingine zote Yanga anaongoza tu.
Magoli ya kufungwa
YANGA 11
SIMBA 14
MAGOLI YA KUFUNGA
YANGA 50
SIMBA 60
POINTS
YANGA 68
SIMBA 60
USHINDI
YANGA 22
SIMBA 18
DROO
YANGA 2
SIMBA 6
YANGA MECHI ZOTE ZA LIGI IMEPATA GOLI.
YANGA AMERUHUSU GOLI kwenye Mechi 7 tu.
Vs Azam magoli 4
Vs Ihefu Magoli 2
Vs Simba 1
Vs Geita 1
Vs Ruvu 1
Vs Singida 1
Vs Polisi 1
Utachekwa weweKwani yanga amemfunga lini Simba kwenye ligi?
Na ndio msingi wa utabiri wangu ulipo hapo. Kama watabadilisha hapo mbele wakaweka watu kazi kama Kibu na Sakho inaweza kuwasaidia sanaMpira wa siku hizi ni wa kuzuia na kukaba wote. Zile rudi rudi rudi ni ndiyo mpira wa kisasa. Kama Simba wataingiwa na tamaa ya kuanza na wachezaji ulio wataja pale mbele watafungwa kirahisi sana. Ningekuwa Coach wa Simba Kibu angeanza badala ya Saido.
Aliajiliwa ili akizingua atimuliwe na lawama abebeshwe yeye badala ya uongozi.Kuna kocha atafukuzwa siku hiyo.
Pole Kwa kutoelewa.Utachekwa wewe
Yanga nzuri iliyomtelekeza SIMBA MBOVU KLABU BINGWA yenyewe ikakimbilia SHIRIKISHO?...shubaaamiti yanga ana goli ngapi na Simba ana goli ngapi kwenye michuano yote??Kumbuka hapa zinafananishwa SIMBA VS YANGA. So kama Simba sio Mbovu ni kwa timu zingine, ila ukifanya comparison na Yanga basi Simba ni mbovu kwa Yanga. Au ww hujaelewa mada?
Mbaya zaidi unarudi kusema ubovu kwenye Kiungo na beki. Sasa unakataa nini na hapo umesemaje?
Mkuu una analysis kali, unatutisha sana. dadeki zakoKama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa huu ni utabiri wangu binafsi juu ya mechi hii yenye kuamua hatma ya Ubingwa wa Ligi kuu Tanzania Bara (NBC PREMIER LEAGUE).
Huu ni utabiri tu, unaweza kuukubali au kuukataa kwa sababu zako, ila kwangu nimetabiri Simba atafungwa na Yanga siku ya Jumapili pale Taifa.
Kwanini nimetabiri hivi? Nakupa facts mbalimbali ambazo kimsingi zitawapa shida zaidi Simba kuliko Yanga.
1. Selection ya Kikosi
Mara zote kwa miaka ya karibuni Simba imekuwa ikitoa Kikosi ambacho ama sio kile kinachoanza Mechi nyingi au Kile kinachokuwa na lengo kubwa la kuzuia bila kuweza kukaba vyema.
Ni matarajio yangu Simba mbele wataanza na CHAMA, BALEKE, NTIBAZONKIZA, SAKHO. Then Viungo Lazima wataanza na MZAMIRU, KANOUTE. So hadi hapo utaona Simba itakuwa na wachezaji 4 wasio na faida Pindi timu yao ikiwa haina mpira.
Wakati kwa upande wa YANGA, lazima ianze na MUSONDA, AZIZ, MOLOKO, MAYELE kwa juu na katikati ni AUCHO NA BANGALA.
Hapo Yanga utaona wazi itakuwa na wachezaji 2 tu ambao hawana faida pindi timu ikiwa haina mpira (MAYELE, AZIZ KI) Hao wengine wote ni watu wa kusaidia sana mabeki na viungo wao.
Game itakuwa ya namna gani?
Kwa ujumla hii game itaamuliwa sana viungo wa Yanga, na kwa namna yoyote NABI ataingia na Mfumo alioutumia kwenye game Vs Azam yaani lazima AZIZ KI atakuwa free role midfielder, atamtaka kutotumia nguvu kubwa kukaba bali awe relaxed akiwa na mpira na aongozwe na maono yake kwa uhuru kabisa.
Unajua kwanini?, NABI anataka kuipa presha SIMBA ya kuzuia Mabeki wake na Viungo wa Chini kupanda bila sababu za Msingi. Hivyo kutengeneza Gap kubwa kati ya Viungo wa Simba na washambuliaji.
2. UFINYU WA MAANDALIZI KWENYE GAME YA WYDAD.
Kwa namna yoyote SIMBA ana kazi kubwa VS WYDAD, hivyo kocha kwa uchache wa machaguo ya wachezaji wake basi atalazimika kufanya SUB nyingi second half ili kuweza kujipanga na Game hiyo ya Klabu Bingwa.
Shida ni nini hapa? Shida ni kwamba Yanga ina machaguo mengi nje ya kikosi cha kwanza na Bado ikakupa matokeo mazuri zaidi hata katika mechi kubwa. NABI anaweza akaanza na KISINDA, MORRISON, MUSONDA, NZIZE
Chini yao akaanza na SUREBOY, na BANGALA na bado akadominate game.
3. Mazingira ya GAME
At any means Yanga wanahitaji kumaliza mbio za Ubingwa siku hii, Ushindi kwao utawahakikishia ubingwa kwani watasaliwa na michezo 4 huku wakihitaji point 1 tu. Mara zote game ambazo Yanga zinaamua hatma yake kwenye Ligi, basi anapata matokeo chanya. Hii itachangiwa pia na Game yao inayofuata ya Kimataifa Vs RIVERS UTD kwamba kidogo wako kwenye uzani sawa hivyo wanaweza jilipua game ya SIMBA na bado wakabattle na RIVERS tofauti sana na SIMBA kwa WYDAD, kwani majeraha yoyote ya mchezaji muhimu wa Simba basi italeta shida game na WYDAD.
4. FORM ZA TIMU HUSIKA
Wadau, kwenye Suala la Form, msimu huu Yanga yuko juu sana ukilinganisha na SIMBA. WORK RATE ya wachezaji wa Yanga iko juu ukilinganisha na Simba ambao wengi wamekuwa ni ingia toka, hasa kutokana na majeraha ya hapa na pale.
Yanga ameshinda Game 12 mfululizo za ligi huku akiwa na Clean sheet 10, na akiruhusu magoli 3 tu. Wakati huo Simba kwenye mechi 12 za mwisho ameshinda game 10 huku 2 akienda sare na AZAM na KAGERA SUGAR na akiruhusu magoli 8 na akiwa na clean sheet 5 tu.
SIMBA ina wastani nzuri wa kufunga kwani wao kwa wastani kila mechi wamepata magoli kuanzia mawili kwenda juu. Wakati huo Yanga wao wastani ni magoli 2 kamili kwa kila mechi.
UTABIRI WA MATOKEO.
Kwa kuangalia game ilivyo, vikosi, mtindo wa uchezaji, na mechi za mbele zao.
FT SIMBA 1-3 YANGA.
Utabiri wa magoli (HII SASA NI RAMLI)
Kwa upande Simba naona kabisa nafasi ya kufunga kama anayo NTIBAZONKIZA wakati Yanga kule nafasi ya Ufungaji wanayo, AZIZ KI (80%), MORRISON na KISINDA.
NAMALIZIA LINDO HAPA. TUKUTANE KWA MKAPA 16.04.2023.
Simba mwenzangu unakataa uhalisia.Yanga nzuri iliyomtelekeza SIMBA MBOVU KLABU BINGWA yenyewe ikakimbilia SHIRIKISHO?...shubaaamiti yanga ana goli ngapi na Simba ana goli ngapi kwenye michuano yote??
mbungi ndio linaanza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kk mi nafuatilia sana mechi za hizi timu, huwa naona sana makosa yanakuwa wapi.
Hebu ifafanue hiyo hesabu ya 1-3 tafadhali.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa huu ni utabiri wangu binafsi juu ya mechi hii yenye kuamua hatma ya Ubingwa wa Ligi kuu Tanzania Bara (NBC PREMIER LEAGUE).
Huu ni utabiri tu, unaweza kuukubali au kuukataa kwa sababu zako, ila kwangu nimetabiri Simba atafungwa na Yanga siku ya Jumapili pale Taifa.
Kwanini nimetabiri hivi? Nakupa facts mbalimbali ambazo kimsingi zitawapa shida zaidi Simba kuliko Yanga.
1. Selection ya Kikosi
Mara zote kwa miaka ya karibuni Simba imekuwa ikitoa Kikosi ambacho ama sio kile kinachoanza Mechi nyingi au Kile kinachokuwa na lengo kubwa la kuzuia bila kuweza kukaba vyema.
Ni matarajio yangu Simba mbele wataanza na CHAMA, BALEKE, NTIBAZONKIZA, SAKHO. Then Viungo Lazima wataanza na MZAMIRU, KANOUTE. So hadi hapo utaona Simba itakuwa na wachezaji 4 wasio na faida Pindi timu yao ikiwa haina mpira.
Wakati kwa upande wa YANGA, lazima ianze na MUSONDA, AZIZ, MOLOKO, MAYELE kwa juu na katikati ni AUCHO NA BANGALA.
Hapo Yanga utaona wazi itakuwa na wachezaji 2 tu ambao hawana faida pindi timu ikiwa haina mpira (MAYELE, AZIZ KI) Hao wengine wote ni watu wa kusaidia sana mabeki na viungo wao.
Game itakuwa ya namna gani?
Kwa ujumla hii game itaamuliwa sana viungo wa Yanga, na kwa namna yoyote NABI ataingia na Mfumo alioutumia kwenye game Vs Azam yaani lazima AZIZ KI atakuwa free role midfielder, atamtaka kutotumia nguvu kubwa kukaba bali awe relaxed akiwa na mpira na aongozwe na maono yake kwa uhuru kabisa.
Unajua kwanini?, NABI anataka kuipa presha SIMBA ya kuzuia Mabeki wake na Viungo wa Chini kupanda bila sababu za Msingi. Hivyo kutengeneza Gap kubwa kati ya Viungo wa Simba na washambuliaji.
2. UFINYU WA MAANDALIZI KWENYE GAME YA WYDAD.
Kwa namna yoyote SIMBA ana kazi kubwa VS WYDAD, hivyo kocha kwa uchache wa machaguo ya wachezaji wake basi atalazimika kufanya SUB nyingi second half ili kuweza kujipanga na Game hiyo ya Klabu Bingwa.
Shida ni nini hapa? Shida ni kwamba Yanga ina machaguo mengi nje ya kikosi cha kwanza na Bado ikakupa matokeo mazuri zaidi hata katika mechi kubwa. NABI anaweza akaanza na KISINDA, MORRISON, MUSONDA, NZIZE
Chini yao akaanza na SUREBOY, na BANGALA na bado akadominate game.
3. Mazingira ya GAME
At any means Yanga wanahitaji kumaliza mbio za Ubingwa siku hii, Ushindi kwao utawahakikishia ubingwa kwani watasaliwa na michezo 4 huku wakihitaji point 1 tu. Mara zote game ambazo Yanga zinaamua hatma yake kwenye Ligi, basi anapata matokeo chanya. Hii itachangiwa pia na Game yao inayofuata ya Kimataifa Vs RIVERS UTD kwamba kidogo wako kwenye uzani sawa hivyo wanaweza jilipua game ya SIMBA na bado wakabattle na RIVERS tofauti sana na SIMBA kwa WYDAD, kwani majeraha yoyote ya mchezaji muhimu wa Simba basi italeta shida game na WYDAD.
4. FORM ZA TIMU HUSIKA
Wadau, kwenye Suala la Form, msimu huu Yanga yuko juu sana ukilinganisha na SIMBA. WORK RATE ya wachezaji wa Yanga iko juu ukilinganisha na Simba ambao wengi wamekuwa ni ingia toka, hasa kutokana na majeraha ya hapa na pale.
Yanga ameshinda Game 12 mfululizo za ligi huku akiwa na Clean sheet 10, na akiruhusu magoli 3 tu. Wakati huo Simba kwenye mechi 12 za mwisho ameshinda game 10 huku 2 akienda sare na AZAM na KAGERA SUGAR na akiruhusu magoli 8 na akiwa na clean sheet 5 tu.
SIMBA ina wastani nzuri wa kufunga kwani wao kwa wastani kila mechi wamepata magoli kuanzia mawili kwenda juu. Wakati huo Yanga wao wastani ni magoli 2 kamili kwa kila mechi.
UTABIRI WA MATOKEO.
Kwa kuangalia game ilivyo, vikosi, mtindo wa uchezaji, na mechi za mbele zao.
FT SIMBA 1-3 YANGA.
Utabiri wa magoli (HII SASA NI RAMLI)
Kwa upande Simba naona kabisa nafasi ya kufunga kama anayo NTIBAZONKIZA wakati Yanga kule nafasi ya Ufungaji wanayo, AZIZ KI (80%), MORRISON na KISINDA.
NAMALIZIA LINDO HAPA. TUKUTANE KWA MKAPA 16.04.2023.
Li Yuda hili hapaaaaaa 🤏🤏Japo Mimi ni msimbazi damu lakini nakubaliana na utabiri huu
NA KWELI AMEFUNGWA YANGA wepesi sana kwa SIMBA sijui kwanini mnajusahaulishaKama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa huu ni utabiri wangu binafsi juu ya mechi hii yenye kuamua hatma ya Ubingwa wa Ligi kuu Tanzania Bara (NBC PREMIER LEAGUE).

Watakuponda bure Ila ulikuwa sahihiNa ndio msingi wa utabiri wangu ulipo hapo. Kama watabadilisha hapo mbele wakaweka watu kazi kama Kibu na Sakho inaweza kuwasaidia sana