Simba atafungwa na Yanga Jumapili

Tukipata vichwa kama hivi 10 humu jf Mambo yatakuwa mazuri
 
Mpira wa siku hizi ni wa kuzuia na kukaba wote. Zile rudi rudi rudi ni ndiyo mpira wa kisasa. Kama Simba wataingiwa na tamaa ya kuanza na wachezaji ulio wataja pale mbele watafungwa kirahisi sana. Ningekuwa Coach wa Simba Kibu angeanza badala ya Saido.
 
Na ndio msingi wa utabiri wangu ulipo hapo. Kama watabadilisha hapo mbele wakaweka watu kazi kama Kibu na Sakho inaweza kuwasaidia sana
 
Yanga nzuri iliyomtelekeza SIMBA MBOVU KLABU BINGWA yenyewe ikakimbilia SHIRIKISHO?...shubaaamiti yanga ana goli ngapi na Simba ana goli ngapi kwenye michuano yote??
 
Mkuu una analysis kali, unatutisha sana. dadeki zako
 
Yanga nzuri iliyomtelekeza SIMBA MBOVU KLABU BINGWA yenyewe ikakimbilia SHIRIKISHO?...shubaaamiti yanga ana goli ngapi na Simba ana goli ngapi kwenye michuano yote??
Simba mwenzangu unakataa uhalisia.
anyway bado saa 5 tu!! kipute kianze.

usiogope mvua njoo ground tumpe mnyama nguvu
 
Hebu ifafanue hiyo hesabu ya 1-3 tafadhali.
 
Uko sahihi mkuu Simba hatoboi leo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
NA KWELI AMEFUNGWA YANGA wepesi sana kwa SIMBA sijui kwanini mnajusahaulisha
Ligi kuu mnahonga Marefu mnasahau Rekodi za CAF Zinaipa SIMBA UBORA MKUBWA kuliko YANGA
Hatimae MMEPIGWA 2-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…