Simba atafungwa na Yanga Jumapili

Kweli wewe ni tabiriri la kimataifa.... ulichoongea kimetokea kweli.....
 

Haya Bwana Pumba tumekusikia na kukudharau! Huyo unayemsifia kafyekwa P*mbu!
 
Naona mlikua mnachambua ujinga wenu. Timu robo fainali championship unaishusha hadhi kwa uchambuzi usiona haya, hata kidogo. Wakati mwingine uchambue kwa kuangalia levels za club. Unadhani kungekua na fairness kwenye mpira wetu, huo utopolo ulioupamba,ungekua kwenye hiyo nafasi? Jaribu kuiheshimu Simba. 90min Simba 2 utopolo 0.
 
Trab na trat🤣🤣🤣
 
Wewe ndiye ulipaswa kuwa muandishi wa uzi huu . Siyo huyu utopolo aliyeandika Kishabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…